Nipe sababu 5 za Heche kunufaika na uwepo wa Lissu kuwepo gerezani.Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana. HEADING

Muulize alioleta threadNipe sababu 5 za Heche kunufaika na uwepo wa Lissu kuwepo gerezani.
0/100.Muulize alioleta thread
Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya.
Anatoa mashariti yanayosababisha Lissu aendelee kusota mahabusu pamoja kwamba anajua kuwa Lissu ana shida nyingi za kiafya na ana familia. Anajua kabisa Tanzania haiwezi kumtoa nje Lissu kwa mashinikizo ya mtu yeyote wa nje ambae ameshindwa kumtoa Kiza Besije gerezani kule Uganda, ameshindwa kumaliza vita za DRC, Sudani na Ukraine wala Iran; hana meno wala nguvu hiyo ya kuilazimisha tz ipige magoti. Heche anafahamu kuwa majeshi yetu yako vizuri kuilinda nchi yetu hayawezi kusalimu amri kwa waandamaji wa aina ile.
Heche anafukuza kila mtu ndani ya chama anaemkosoa wala kumhoji, mpaka wenzake wameshamshitukia.
View: https://youtu.be/2kfIBqqcQTY?si=TAVh_VVgYbTx8Upu

Ila siasaa dahh!!

Unajibishana na robot la watawala....hebu tunyambulie Heche amezuia vipi Lissu kutolewa magereza.
..kwa mfano, Heche alitakiwa afanye nini ili Lissu atolewe.
..kwa maoni yangu, wenye uwezo wa kumtoa Lissu ni mahakama ikiwa itasikiliza kesi kwa wakati na kumpa ushindi.
..wa pili ni Dpp, ikiwa atakubali kitu ambacho watu wengi wamekiona, kwamba kesi haina mashiko na kuamua kufuta kesi.
..sasa Heche hateuwi majaji, wala Dpp, kusema kwamba anaweza kuwaita na kuwahimiza watekeleze wajibu wao ili shauri lifikie tamati.