Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, leo Agosti 21, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa msimamo mkali wa chama hicho kufuatia hatua ya kuzuiliwa na kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu.
Heche amesisitiza kuwa CHADEMA imejipanga kikamilifu na ina pumzi ya kutosha kupambana na kile alichokiita "vitisho vya maigizo" na shinikizo za kisiasa zinazofanywa na serikali iliyopo madarakani.
Heche amesisitiza kuwa CHADEMA imejipanga kikamilifu na ina pumzi ya kutosha kupambana na kile alichokiita "vitisho vya maigizo" na shinikizo za kisiasa zinazofanywa na serikali iliyopo madarakani.
