I knew it. Nashangaa sana watu waliokuwa wanajua mahakama zitatoa haki. Bila total transformation na kuiondoa CCM madarakani hakuna mahakama itakayoamua kesi za kisiasa kwa uweledi.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, leo Agosti 21, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa msimamo mkali wa chama hicho kufuatia hatua ya kuzuiliwa na kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu.
Heche amesisitiza kuwa CHADEMA imejipanga kikamilifu na ina pumzi ya kutosha kupambana na kile alichokiita "vitisho vya maigizo" na shinikizo za kisiasa zinazofanywa na serikali iliyopo madarakani.
nani atababaika na fisadi lofa kama heche,Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, leo Agosti 21, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa msimamo mkali wa chama hicho kufuatia hatua ya kuzuiliwa na kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu.
Heche amesisitiza kuwa CHADEMA imejipanga kikamilifu na ina pumzi ya kutosha kupambana na kile alichokiita "vitisho vya maigizo" na shinikizo za kisiasa zinazofanywa na serikali iliyopo madarakani.
QmmkYeye si shule ya Sheria, muache aendelee kutoa shule ya Sheria. πππ
Bold statementMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, leo Agosti 21, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa msimamo mkali wa chama hicho kufuatia hatua ya kuzuiliwa na kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu.
Heche amesisitiza kuwa CHADEMA imejipanga kikamilifu na ina pumzi ya kutosha kupambana na kile alichokiita "vitisho vya maigizo" na shinikizo za kisiasa zinazofanywa na serikali iliyopo madarakani.
Yaani hapa huyu mama mnywa damu kila akiziba watu wanatoboa kwingine na asivyo na akili anaona anajenga kumbe anabomoa kila leo anazalisha wapinzani wapyaSafi sana sana Heche, cdm wasikubali kuingizwa kwenye Kona ya hofu, wsshikilie hapo hapo.