Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sawa. Inawezekana hata Kasumo na hata Myama jiografia yake huijui vizuri. Naomba unifahamishe Kasumo iko upande gani ukiwa kasulu mjini na ni muda gani gari linaweza tumia kwa speed ya kawaida kufika Kasumo?
 
Nimeshakueleza, mimi naifahamu Kasumo, sio tuu kwenye ramani bali kwa kufika. Kuanzia Kasulu Kabanga, Mwanga , Kasumo , Muyama Mpaka Migongo ambako ndiko mpakani.
All in all msipende kujiona nyinyi mna haki na hii nchi kuliko wengine. Kuanzia Manyovu mpaka Horiri, Mtukula mpaka Mbambabay, Tunduma mpaka Sirari kote ni Tanzania na wote waliozaliwa na wazazi waliokua wakiishi hapo kabla ya uhuru na amabao wameendelea kuzaliwa kwenye vizazi hivyo, wana haki ya kuwa Watanzania.
 
John Heche aache kudharau sana kwa Mh. Rais wetu, lugha anayotumia sio sahihi, siasa za ustaarabu ni kufanya siasa bila kudharau utu au jinsia ya mtu..!!
Ila lugha ya mama KATIBA kuiita KIJITABU ni sawasawa siyo??

Kutekwa watu na kuawawa kuita DRAMA ni sawa??

Yeye ndiyo anaongoza bkwa maneno bya shombo shombo 🤣😃😃🤣😃🚴
 
Halafu pia kitu kingine Kigoma ina Wahamiaji haramu wengi sana Wakongo na waburundi na ni mara chache sana maafisa uhamiaji kuwasaka ndani ya Kigoma maana hawapati ushirikiano kutoka kwa wale wanaoitwa watanzania wa Kigoma! Ulishawahi jiuliza ni kwann Magari ya usafirishaji abiria sana sana Mabas yakifika pale uvinza kabla hayajaingia Mkoa wa Tabora , abiria wote wa Mkoa wa Kigoma wanakaguliwa vitambulisho vyao na maafisa wa Uhamiaji kuhakiki uraia wa watu wa Kigoma?!
 
Tunahitaji kuambiwa? Je hizo ni sifa za kumfanya asichaguliwe? ANYWAY- UPUMBAVU KAMA ULIVYO HAUNA DAWA NI KIPAWA KITUMIE
Heche ana maanisha wfuasi wa Chadema ni wengi ni wa Tanganyika, na pia wanawake wengi hawampendi SSH, sijaona ubaguzi hapo...
 
Leo ndipo nimeamini JF kuna watu wanajua kutengeneza hoja...
🤣😂
Nimenyoosha mikono...

Mdau una posts 1175 toka mwaka 2007... Expert Member....
 
..Maza aliwahi kusema Mbowe ni gaidi, kitu ambacho uongo.

Baada ya kuuza Bandari, misitu yetu na Makazi ya Masai kwa wajomba zake. Hivi Maza atakuwa na hoja gani kwenye uchaguzi.I can't see her campaigning daily for three month. Atawambia nini Watanzania?
 
Baada ya kuuza Bandari, misitu yetu na Makazi ya Masai kwa wajomba zake. Hivi Maza atakuwa na hoja gani kwenye uchaguzi.I can't see her campaigning daily for three month. Atawambia nini Watanzania?
Mbona Chadema wameshampa ushindi mama kabla ya uchaguzi?

Au mnafikiri Watanzania ni wajinga kiasi hicho?

Mgombea Urais wa Chadema ni nani?
 
Baada ya kuuza Bandari, misitu yetu na Makazi ya Masai kwa wajomba zake. Hivi Maza atakuwa na hoja gani kwenye uchaguzi.I can't see her campaigning daily for three month. Atawambia nini Watanzania?

..uwezo Maza kiakili na kifikra ni mdogo.
 
Mbona Chadema wameshampa ushindi mama kabla ya uchaguzi?

Au mnafikiri Watanzania ni wajinga kiasi hicho?

Mgombea Urais wa Chadema ni nani?

..Maza hatukumchagua.

..Uraisi wa muungano ni kwa ajili ya Watanganyika.

..Wazanzibari tayari wana Raisi wao, na serikali yao SMZ.
 
..Uraisi wa muungano ni kwa ajili ya Watanganyika.
97% ya mambo ya Muungano ni ya Tanganyika.
..Wazanzibari tayari wana Raisi wao, na serikali yao SMZ.
Mkutano wa China-Africa kulikuwa na Kiti cha Tanzania na cha Zanzibar. Mbona watu hawakuona ni tusi
Mkutano huo ulihudhuriwa na Rais Samia, kwanini hakuona kuna Tanzania anayowakilisha na Zanzibar!

Vijana 'makachu' na mabango ya '' Zanzibar'' na na siyo Tanzania. Kwanini watu hawaoni ni matusi!

Rais alishasema mara nyingi, ''mimi ni Mzanzibar''. Tusi lipo wapi?

Kuna kitambulisho cha Mzanzibar mkazi, kipo wapi cha Mkurya mkazi au Mmnakonde, Mhaya Mkazi!
 
John Heche ni mtanzania.

Hizi tabia za kuwapakazia watu uraia wa nchi jirani ni za kishamba.

Tupambane kivyetu.

Heche ni poyoyo hiyo ni hoja nyingine.

Lakini hizi akili za kutaka kuwabagua watu wa mipakani inabidi zikemewe kwa nguvu zote.

Heche ni mtazania mzalendo, kushinda naibu spika Zungu (mmbunge wa Ilala) ukimuuliza mimi.

Kwanini hizi tabia za kutaka kubagua watu.
 
Mwabukusi baada ya kukua akili ameacha ujinga,wamesalia kina Heche na loosers wengine 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DExThDUKunH/?igsh=OGQ5eXBjc3Foc2tu
 
heche ni mraibu wa kubeti lakini pia anatuamia vitu vya kusisimua akili,

huenda dishi linaendelea kubaya zaidi
John heche nafikiri unamjua tu kwenye media bora usiseme vitu usivyovijua
 
Mbona Chadema wameshampa ushindi mama kabla ya uchaguzi?

Au mnafikiri Watanzania ni wajinga kiasi hicho?

Mgombea Urais wa Chadema ni nani?

Hawezi kushinda kwa kura halali.

Anajiandaa kufanya ya mwaka jana wakati Lissu anapanga kuzuia yadijirudie. Baada ya Bandari, misitu na Wamasai hawezekeni kutoboa bila kuiba uchaguzi. Imagine JPM mwenyewe alivyopata shida 2020 ndiyo iwe huyu Maza? Pamoja na pesa ya Wajomba ajiandae kuiba tu kama watangulizi wake. Hana jinsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…