Akiminywa asitie Huruma kwa kumkejeli Rais wa Nchi sisi Raia hatukumtuma kuongea hivo
..kusema Mama Samia ni Mzanzibari ni kumkejeli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiminywa asitie Huruma kwa kumkejeli Rais wa Nchi sisi Raia hatukumtuma kuongea hivo
Sawa. Inawezekana hata Kasumo na hata Myama jiografia yake huijui vizuri. Naomba unifahamishe Kasumo iko upande gani ukiwa kasulu mjini na ni muda gani gari linaweza tumia kwa speed ya kawaida kufika Kasumo?Kasumo sio mpakani mwa Burundi. Kutoka Kasumo mpaka mpaka wa Tanzania na Burundi kuna karibu km 100. Ni sawa na kusema, watu wote wa Rombo ni wahamiaji kutoka Kenya. Kitu ambacho sio sahihi. Unatakiwa ujue, Kasumo ilikuwepo hata kabla ya Burundi kupata uhuru na ilikua sehemu ya Tanganyika huru na ilikua na wakazi wake.
Samia anawajomba omaniNi sawa tu na Makamu wetu wa Raisi mwenye ndugu Burundi hakuna ubaya wowote.
Basi ni mkulya..kusema Mama Samia ni Mzanzibari ni kumkejeli?
Nimeshakueleza, mimi naifahamu Kasumo, sio tuu kwenye ramani bali kwa kufika. Kuanzia Kasulu Kabanga, Mwanga , Kasumo , Muyama Mpaka Migongo ambako ndiko mpakani.Sawa. Inawezekana hata Kasumo na hata Myama jiografia yake huijui vizuri. Naomba unifahamishe Kasumo iko upande gani ukiwa kasulu mjini na ni muda gani gari linaweza tumia kwa speed ya kawaida kufika Kasumo?
Ila lugha ya mama KATIBA kuiita KIJITABU ni sawasawa siyo??John Heche aache kudharau sana kwa Mh. Rais wetu, lugha anayotumia sio sahihi, siasa za ustaarabu ni kufanya siasa bila kudharau utu au jinsia ya mtu..!!
Halafu pia kitu kingine Kigoma ina Wahamiaji haramu wengi sana Wakongo na waburundi na ni mara chache sana maafisa uhamiaji kuwasaka ndani ya Kigoma maana hawapati ushirikiano kutoka kwa wale wanaoitwa watanzania wa Kigoma! Ulishawahi jiuliza ni kwann Magari ya usafirishaji abiria sana sana Mabas yakifika pale uvinza kabla hayajaingia Mkoa wa Tabora , abiria wote wa Mkoa wa Kigoma wanakaguliwa vitambulisho vyao na maafisa wa Uhamiaji kuhakiki uraia wa watu wa Kigoma?!Kasumo sio mpakani mwa Burundi. Kutoka Kasumo mpaka mpaka wa Tanzania na Burundi kuna karibu km 100. Ni sawa na kusema, watu wote wa Rombo ni wahamiaji kutoka Kenya. Kitu ambacho sio sahihi. Unatakiwa ujue, Kasumo ilikuwepo hata kabla ya Burundi kupata uhuru na ilikua sehemu ya Tanganyika huru na ilikua na wakazi wake.
Heche ana maanisha wfuasi wa Chadema ni wengi ni wa Tanganyika, na pia wanawake wengi hawampendi SSH, sijaona ubaguzi hapo...Tunahitaji kuambiwa? Je hizo ni sifa za kumfanya asichaguliwe? ANYWAY- UPUMBAVU KAMA ULIVYO HAUNA DAWA NI KIPAWA KITUMIE
Leo ndipo nimeamini JF kuna watu wanajua kutengeneza hoja...Kuna kitu umekiongea vibaya kwenye hoja yako.
Heche kama ni Heche kweli anaongelea strengths na weaknesses za Samia.
Nani asiyejua kwa Tanzania ya leo mgombea mwanamke ana nafasi Ndogo kushinda kuliko mwanaume kama mambo mengine yote wanafanana?
Hivyo hivyo Samia kuwa Mzanzibar ni weakness kwenye uraias wa Tanzania. Ni sawa na mtu aseme Mbowe kuwa mchaga ni tatizo kwenye Urais.
Misogyny ni kitu tofauti kabisa. Heche anaongelea facts zilizopo na hata wewe Unajua.
..Maza aliwahi kusema Mbowe ni gaidi, kitu ambacho uongo.
Mbona Chadema wameshampa ushindi mama kabla ya uchaguzi?Baada ya kuuza Bandari, misitu yetu na Makazi ya Masai kwa wajomba zake. Hivi Maza atakuwa na hoja gani kwenye uchaguzi.I can't see her campaigning daily for three month. Atawambia nini Watanzania?
Baada ya kuuza Bandari, misitu yetu na Makazi ya Masai kwa wajomba zake. Hivi Maza atakuwa na hoja gani kwenye uchaguzi.I can't see her campaigning daily for three month. Atawambia nini Watanzania?
Mbona Chadema wameshampa ushindi mama kabla ya uchaguzi?
Au mnafikiri Watanzania ni wajinga kiasi hicho?
Mgombea Urais wa Chadema ni nani?
97% ya mambo ya Muungano ni ya Tanganyika...Uraisi wa muungano ni kwa ajili ya Watanganyika.
Mkutano wa China-Africa kulikuwa na Kiti cha Tanzania na cha Zanzibar. Mbona watu hawakuona ni tusi..Wazanzibari tayari wana Raisi wao, na serikali yao SMZ.
Mwabukusi baada ya kukua akili ameacha ujinga,wamesalia kina Heche na loosers wengine 👇👇Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.
"Cha kwanza ni kwamba huyu Mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea, wala sisi tukikiwa tunaongoza Chama. Kwasababu kwanza ni Mzanzibar—hilo sio favour kwake. Pili ni Mwanamke—sio favour kwake. Tatu hana hoja, ameongoza watu wameona. Kwa hiyo wanachotaka ni watumie huu uchaguzi wa CHADEMA kumzaliza Uchaguzi Mkuu mapema. Kwamba CHADEMA ikifa sasa hivi, tarehe 21 Januari, wao hawana Uchaguzi."
"Walikuwa wamepanga watumie labda bilioni 400 kwenye Uchaguzi. Kama wanaweza wakachukua bilioni 5, wakampa Freeman Mbowe akaua Chama kisiwepo na Uchaguzi usiwepo, wao watakuwa wamepata nafuu ya bilioni karibia mia ngapi? Uchaguzi ni wakufa na kupona kwenye Chama chetu. Sasa hao watu wanakupigieni simu, hao watu wanaongea na nyie, wanakuja kwenye vikao, kwanini hamuwarekodi tupate huo ushahidi?"
"Kwa mfano, pale Mwenyekiti alipokuwa anazungumza kwamba mtachukuliwa malazi... (hiyo ni kitu kizuri sana). Mara ngapi watu wetu wamesafiri kwa shida kwenye mikutano mikuu yote?"
"Milikuwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, watu wanahangaika hawana hata hela ya kujazia fomu, hela za kuchonga mihuri, watu wanajichangisha wenyewe, hizo hela zote wanazosema wanazo zilikuwa wapi.? Hao watu wasifufanye sisi hatuna akili tafuta huo Ushahidi, rekodini hao watu mazungumzo yao, tunahitaji Ushahidi kisha tutaufanyia kazi"
John heche nafikiri unamjua tu kwenye media bora usiseme vitu usivyovijuaheche ni mraibu wa kubeti lakini pia anatuamia vitu vya kusisimua akili,
huenda dishi linaendelea kubaya zaidi![]()
Mbona Chadema wameshampa ushindi mama kabla ya uchaguzi?
Au mnafikiri Watanzania ni wajinga kiasi hicho?
Mgombea Urais wa Chadema ni nani?
Kwani sio mwanamke na pia mzanzibar?Uchawa ndio nini? Jibu hoja