Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.

Mbona umeacha mengi mazuri ambayo yamesemwa humo na ukaweka muhtasari huo ambao haukuwa hoja sana kwenye hayo mazungumzo?

Ni nini ulikusudia tudhatiti? Kwa sababu hadi nahisi huenda hukusikiliza hadi mwisho hayo mazungumzo ama unashida ya kuelewa maudhui thabiti.

Ova
 
Chukua Clips kumi za John Heche msikilize utagundua uwezo wake ni mdogo sana
Watu wenye uwezo mdogo hujificha kwa kutukana Viongozi na Serikali
Huwezi kumfananisha na kizazi cha akina Ester Bulaya, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Kafulila, John Mnyika wakijenga hoja bungeni
Heche ni mtupu sana
Labda waliosoma nae waje watupe ufafanunuzi zaidi
Heche huishia kutoa / ku-address challenges bila kuja na Solutions/ Way forward!!
Hapo anyefika level za Heche ni Zitto tu.

.......... Wengine hao hakuna kitu.
 
Mother hajawahi kumsema Heche ni Mkenya
Heche kua mkenya itakua Tuhuma tu ila maza kua Mzanzibari sio tuhuma ni Ukweli. Zanzibar ni nchi nyingine ina rais wake na katiba yake. Hilo halihitaji uwe umefika daraka sa 4 kulijua.

Ni watanganyika kua mataahira kuongozwa na raia wa nchi nyingine halafu mkachekelea. Huu ni utaahira level za juu sana.
 
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.

Nadhani mdomo unamuwasha hajawahi Kaa jela ,aendelee maana anadhani yehe kuwa mkurya ana haki kushinda wengine.

Hawa watu Samia anawachekea wa nini?
 
Nadhani mdomo unamuwasha hajawahi Kaa jela ,aendelee maana anadhani yehe kuwa mkurya ana haki kushinda wengine.

Hawa watu Samia anawachekea wa nini?
Umeandika ujinga tupu.
Kwani sio mzanzibar na ni mwanamke? Au uchawa unakusumbua?
 
Chukua Clips kumi za John Heche msikilize utagundua uwezo wake ni mdogo sana
Watu wenye uwezo mdogo hujificha kwa kutukana Viongozi na Serikali
Huwezi kumfananisha na kizazi cha akina Ester Bulaya, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Kafulila, John Mnyika wakijenga hoja bungeni
Heche ni mtupu sana
Labda waliosoma nae waje watupe ufafanunuzi zaidi
Heche huishia kutoa / ku-address challenges bila kuja na Solutions/ Way forward!!
Wewe una hoja zipi zaidi ya uchawa tu
 
Watanzania wana haki kikatiba ya kutoa maoni yao juu ya yeyote na chochote kuhusu nchi yetu na nchi nyingine duniani. Wewe ni nani hata uthubutu kuwanyooshea kidole watanzania wanaotumia haki yao kikatiba?
Hakunaga Haki ya ubaguzi hapa Tanzania Wala hakuna mahala waliposema wakurya wanaume wanatakiwa kuwa viongozi ila wanawake hawatakiwi.

Harafu wakiginywa muanze kutulazimiaha kuwaonea huruma si ndio?
 
Anachokifanya Heche sio kizuri hata kidogo. Wenje alisema bajeti ya uchaguzi milioni 700, CDM walikuwa na 300m na Mbowe 250. Akasema wajumbe wa Kamati Kuu walitakiwa kuchanga ili kufanikisha uchaguzi. Lissu aliambiwa achangie 30 milioni na mpaka siku anaongea Wenje alikuwa hajachanga kitu. Heche hajasema amechangia kiasi gani.

Sasa badala ya kumshukuru mtu anaewezesha wajumbe wengi ( ambao wanatuambia kuwa 90% wameahidi kuwapigia kura) kuhudhuria yeye anamlaumu halafu anatoa shutuma kuwa kahongwa mabilioni ya shilingi ili Chadema ife na Samia ashinde . Hiyo njaa Mbowe ameipata baada ya Lissu kutangaza kugombea urais?

Mbowe ni mfanya biashara kwa nini awekeze pesa nyingi katika uchaguzi ambao kila mmoja alijua CCM wameamua kuwa watashinda kwa njia yeyote ile? Si bora kuwekeza katika uchaguzi wao wa ndani utakaotoa fursa kwa CDM kupata viongozi bora? Haka kama atachaguliwa Lissu. Kama Lissu na Heche ni wapiganaji kweli kwa nini hawakuhakikisha kuwa wagombea wao wanatangazwa katika majimbo yao. Halafu wanataka kutuaminisha kuwa watahakikisha kuwa wanatangazwa wakati wanashindana na Amiri Jeshi Mkuu.

Hecha anasema hadharani kuwa kwa jinsi anavyomheshimu Mbowe hawezi kumsema vibaya kumbe anamchimba nyuma ya pazia. Sio mtu mzuri.

Amandla...
Haujui kwa sasa wanaweza/au wameshajitokeza wafadhili ambao hawakubaliani na Samia kushinda uchaguzi..kumbuka kuna timu Kinana imetulia,labda atumie ujanja wa kuwateua lakini pia hata timu Magu pia hawamkubali huyo bibi kizee
 
Nadhani mdomo unamuwasha hajawahi Kaa jela ,aendelee maana anadhani yehe kuwa mkurya ana haki kushinda wengine.

Hawa watu Samia anawachekea wa nini?
Sasa utamfanya nini wewe k,unamtishia nani wakati wewe mwenyewe tu muoga pimbi wewe
 
Back
Top Bottom