comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
- Thread starter
- #61
Ubaguzi unaweza kukusaidia kushinda ila bado ni UBAGUZI TUKuna kitu umekiongea vibaya kwenye hoja yako.
Heche kama ni Heche kweli anaongelea strengths na weaknesses za Samia.
Nani asiyejua kwa Tanzania ya leo mgombea mwanamke ana nafasi Ndogo kushinda kuliko mwanaume kama mambo mengine yote wanafanana?
Hivyo hivyo Samia kuwa Mzanzibar ni weakness kwenye uraias wa Tanzania. Ni sawa na mtu aseme Mbowe kuwa mchaga ni tatizo kwenye Urais.
Misogyny ni kitu tofauti kabisa. Hedge anaongelea facts zilizopo na hata wewe Unajua.