Mbona umeacha mengi mazuri ambayo yamesemwa humo na ukaweka muhtasari huo ambao haukuwa hoja sana kwenye hayo mazungumzo?Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.
Hapo anyefika level za Heche ni Zitto tu.Chukua Clips kumi za John Heche msikilize utagundua uwezo wake ni mdogo sana
Watu wenye uwezo mdogo hujificha kwa kutukana Viongozi na Serikali
Huwezi kumfananisha na kizazi cha akina Ester Bulaya, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Kafulila, John Mnyika wakijenga hoja bungeni
Heche ni mtupu sana
Labda waliosoma nae waje watupe ufafanunuzi zaidi
Heche huishia kutoa / ku-address challenges bila kuja na Solutions/ Way forward!!
Heche kua mkenya itakua Tuhuma tu ila maza kua Mzanzibari sio tuhuma ni Ukweli. Zanzibar ni nchi nyingine ina rais wake na katiba yake. Hilo halihitaji uwe umefika daraka sa 4 kulijua.Mother hajawahi kumsema Heche ni Mkenya
Nadhani mdomo unamuwasha hajawahi Kaa jela ,aendelee maana anadhani yehe kuwa mkurya ana haki kushinda wengine.Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.
Kwani sio mzanzibar?Anataka watu warekodiwe karekodiwa yeye mwenyewe. Hana hoja kakalia ubaguzi na misogyny.
Mtazamo wa kijinga haswa.
Umeandika ujinga tupu.Nadhani mdomo unamuwasha hajawahi Kaa jela ,aendelee maana anadhani yehe kuwa mkurya ana haki kushinda wengine.
Hawa watu Samia anawachekea wa nini?
Atakuja kulia kama huyu mwenzie ,Wacha ajae upipo na kuvimba kichwa Kwa ujinga 👇👇Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.
Wewe una hoja zipi zaidi ya uchawa tuChukua Clips kumi za John Heche msikilize utagundua uwezo wake ni mdogo sana
Watu wenye uwezo mdogo hujificha kwa kutukana Viongozi na Serikali
Huwezi kumfananisha na kizazi cha akina Ester Bulaya, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Kafulila, John Mnyika wakijenga hoja bungeni
Heche ni mtupu sana
Labda waliosoma nae waje watupe ufafanunuzi zaidi
Heche huishia kutoa / ku-address challenges bila kuja na Solutions/ Way forward!!
Hakunaga Haki ya ubaguzi hapa Tanzania Wala hakuna mahala waliposema wakurya wanaume wanatakiwa kuwa viongozi ila wanawake hawatakiwi.Watanzania wana haki kikatiba ya kutoa maoni yao juu ya yeyote na chochote kuhusu nchi yetu na nchi nyingine duniani. Wewe ni nani hata uthubutu kuwanyooshea kidole watanzania wanaotumia haki yao kikatiba?
Uchawa ndio nini? Jibu hojaWewe una hoja zipi zaidi ya uchawa tu
Haujui kwa sasa wanaweza/au wameshajitokeza wafadhili ambao hawakubaliani na Samia kushinda uchaguzi..kumbuka kuna timu Kinana imetulia,labda atumie ujanja wa kuwateua lakini pia hata timu Magu pia hawamkubali huyo bibi kizeeAnachokifanya Heche sio kizuri hata kidogo. Wenje alisema bajeti ya uchaguzi milioni 700, CDM walikuwa na 300m na Mbowe 250. Akasema wajumbe wa Kamati Kuu walitakiwa kuchanga ili kufanikisha uchaguzi. Lissu aliambiwa achangie 30 milioni na mpaka siku anaongea Wenje alikuwa hajachanga kitu. Heche hajasema amechangia kiasi gani.
Sasa badala ya kumshukuru mtu anaewezesha wajumbe wengi ( ambao wanatuambia kuwa 90% wameahidi kuwapigia kura) kuhudhuria yeye anamlaumu halafu anatoa shutuma kuwa kahongwa mabilioni ya shilingi ili Chadema ife na Samia ashinde . Hiyo njaa Mbowe ameipata baada ya Lissu kutangaza kugombea urais?
Mbowe ni mfanya biashara kwa nini awekeze pesa nyingi katika uchaguzi ambao kila mmoja alijua CCM wameamua kuwa watashinda kwa njia yeyote ile? Si bora kuwekeza katika uchaguzi wao wa ndani utakaotoa fursa kwa CDM kupata viongozi bora? Haka kama atachaguliwa Lissu. Kama Lissu na Heche ni wapiganaji kweli kwa nini hawakuhakikisha kuwa wagombea wao wanatangazwa katika majimbo yao. Halafu wanataka kutuaminisha kuwa watahakikisha kuwa wanatangazwa wakati wanashindana na Amiri Jeshi Mkuu.
Hecha anasema hadharani kuwa kwa jinsi anavyomheshimu Mbowe hawezi kumsema vibaya kumbe anamchimba nyuma ya pazia. Sio mtu mzuri.
Amandla...
Sasa utamfanya nini wewe k,unamtishia nani wakati wewe mwenyewe tu muoga pimbi weweNadhani mdomo unamuwasha hajawahi Kaa jela ,aendelee maana anadhani yehe kuwa mkurya ana haki kushinda wengine.
Hawa watu Samia anawachekea wa nini?
Mbona clip inaongelea vitu vingine?Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.
Acha utapeli we jamaa. Uyo mzee hana ndugu Burundi. Ninaijua familia yao vizuri sana.Ni sawa tu na Makamu wetu wa Raisi mwenye ndugu Burundi hakuna ubaya wowote.
Au unaogopa ataulizwa NIDA?😄😁Acha utapeli we jamaa. Uyo mzee hana ndugu Burundi. Ninaijua familia yao vizuri sana.
Usiwe mjinga kiasi hicho. Ni watanganyika wangapi wameiongoza Zanzibar kwa kuwa ni marais wa jamhuri ya muungano? Acha kuwaza kama nyumbu😀😀...Ni watanganyika kua mataahira kuongozwa na raia wa nchi nyingine...
We mzee umekuwa mjinga sana. Muulize Heche kwanini hakutamka hayo maneno ya kibaguzi kabla.Mbona hayo hamkuyasema kabla