Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chukua Clips kumi za John Heche msikilize utagundua uwezo wake ni mdogo sana
Watu wenye uwezo mdogo hujificha kwa kutukana Viongozi na Serikali
Huwezi kumfananisha na kizazi cha akina Ester Bulaya, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Kafulila, John Mnyika wakijenga hoja bungeni
Heche ni mtupu sana
Labda waliosoma nae waje watupe ufafanunuzi zaidi
Heche huishia kutoa / ku-address challenges bila kuja na Solutions/ Way forward!!
Ni kweli lakini uwezo wa heche ni mkubwa kuliko wa chura kiziwi
 
Chukua Clips kumi za John Heche msikilize utagundua uwezo wake ni mdogo sana
Watu wenye uwezo mdogo hujificha kwa kutukana Viongozi na Serikali
Huwezi kumfananisha na kizazi cha akina Ester Bulaya, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Kafulila, John Mnyika wakijenga hoja bungeni
Heche ni mtupu sana
Labda waliosoma nae waje watupe ufafanunuzi zaidi
Heche huishia kutoa / ku-address challenges bila kuja na Solutions/ Way forward!!
Aliwahi kupinga sana Serikali isinunue ndege

Sielewagi wanaomsofia huyu heche
 
Warundi walio ingia nchini kiujanja ujanja wakaishi pale Kasumo mpakani na Burundi sio Watanzania halis.
Kasumo sio mpakani mwa Burundi. Kutoka Kasumo mpaka mpaka wa Tanzania na Burundi kuna karibu km 100. Ni sawa na kusema, watu wote wa Rombo ni wahamiaji kutoka Kenya. Kitu ambacho sio sahihi. Unatakiwa ujue, Kasumo ilikuwepo hata kabla ya Burundi kupata uhuru na ilikua sehemu ya Tanganyika huru na ilikua na wakazi wake.
 
Jinsia ya Samia tusiifanye kuwa ni HOJA ndugu zangu wanaCHADEMA.
 
Asili ya Mkurya ni Tanzania wala siyo Kenya ndiyo maana Wakurya kule Kenya huitwa Watanzania.
 
Mtu yeyote aliyekuwepo Nchi siku ya Uhuru.
Mpango alikuwa wapi siku ya Uhuru wa Tanganyika? Je, kasumo ilikua sehemu ya Tanganyika huru? Na kama ndio, akina nani waliokua wanaishi pale wakati huo kama kila mtu anayeishi hapo anaonekana wakuja?
 
Kinana pia kuna watu wanasema (sio mimi) kuwa baadhi ya member wa familia yake wanaishi ukimbizini.
 
Kinana pia kuna watu wanasema (sio mimi) kuwa baadhi ya member wa familia yake wanaishi ukimbizini.
Kaka, tusipende kuishi kwa kunyosheana vidole. Tanzania ni nchi yetu sote. Hivyo hakuna sababu ya kuona wengine hawafai ww ndio unafaa
 
Hawana haki ya kutoa maoni ya kibaguzi na yanayo hatarisha umoja wa kitaifa kama wapi Rais anatoka, mwanamke n.k.

1. Bi Samia Suluhu Hassan ni MZANZIBARI wa KIZIMKAZI huko UGUNJA kwenye nchi inayoitwa ZANZIBAR...!!

2. Bi. Samia Suluhu Hassan ni binadamu mwenye jinsia ya kike a.k.a mwanamke...

##Ubaguzi uko wapi hapo? Unaweza vipi kuukataa ukweli huu kumhusu Bibi yenu huyu hata unathubutu kusema huu ni ubaguzi...?

##Sikiliza bwana. Samia Suluhu Hassan hawezi kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 iwapo TUNDU LISSU atagombea kupitia CHADEMA...!!

HUU NI UKWELI MCHUNGU MNAOSTAHILI KUANZA KIJIANDAA KUUMEZA SASA!!
 
Back
Top Bottom