Uchaguzi 2020 Heche jiandae kukabidhi jimbo la Tarime Vijijini kwa Mwita Waitara, hutaki unataka

Huko ni vita. Mungu awalinde wafanye uchaguzi kwa amani. Ila Mwita Waitara ni mkomavu wa siasa.
Mkomavu au ana tabia iliyokemewa na hayati Mwalimu ya "...himalaya himalaya!" Kwenye siasa?
Tuliaswa watu wa aina hiyo tuwaogope kama ukoma
 
Wagombea wa CCM wasioishi kwenye majimbo yao watatoswa. Pia wagombea wenye tamaa au uchu wa madaraka watatoswa. Kadhalika wagombea malaya malaya wa kisiasa nao watatoswa. Je, Waitara hana sifa hizo aweze kuteuliwa kama mgombea kwa tikiti ya CCM?
 
Waitara atashinda kupitia vyombo vya dola kwa kupora ushindi. Vinginevyo Heche hata asipofanya kampeni atashinda.
 
Hii ndoto
Waitara hatoboi
 
Waitara yupo kwenye mapungufu yoote uliyo yataja hapo juu
Wagombea wa CCM wasioishi kwenye majimbo yao watatoswa. Pia wagombea wenye tamaa au uchu wa madaraka watatoswa. Kadhalika wagombea malaya malaya wa kisiasa nao watatoswa. Je, Waitara hana sofa hizo aweze kiteuliwa kama mgombea kwa tikiti ya CCM?
 
Wana Tarime washa jiandaa kukabiliana na kila aina ya uhuni utakao fanywa ili kulazimisha ushindi kwa Waitara
Waitara atashinda kupitia vyombo vya dola kwa kupora ushindi. Vinginevyo Heche hata asipofanya kampeni atashinda.
 
Ila hata kama kuna kutiana moyo, lakini ushindi Wa Waitara kwenye kura za maoni haukutarajiwa na Chadema.

Hapa ngoma ni fifty fifty. Kila mtu ajiandae kisaikolojia
 
Huko ni KANDA MAALUMU , Mwita kalikimbia Jimbo la Ukonga wananchi wanamuuliza issue za maendeleo anawambia wanywe BIA tu,Sasa unafikiri wanaTARIME ni wajinga wamchague MWITA? Mwita amepigiwa kura za maoni na wanaCCM wenzake ila akija kwa wapiga Kura wa NEC anapigwa za USO!! Wana TARIME wanapiga KURA na wanazilinda "FITA NI FITA MURA".
 
Waitara atashinda anatokea ukoo mkubwa wa wairege waliojaa nyamwaga mpaka bwirege, wakati heche yeye ni mkira wa sirari..ushindi tarime unaamuliwa na koo
 
Juzi nilikuwa maeneo ya Tarime asilimia 90 ya bendera zilizokuwa zinapepea ni za CDM, vipi za CCM bado hazijashonwa?
 

Waitara hakusaidia lolote jimbo lake la awali. Mkimpa jimbo lenu huku mkijua hilo mtakuwa mnajikomoa wenyewe sio Heche.

Amandla...
 
Hivi kwanini NEMC kuna wakurya wengi?
 
Mwita Waitara ndiye alikuwa anawashindisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…