Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa kuthibitisha madai yao na kulipa fidia wanaweza kupoteza mali zao.
"Nimeanzisha kesi yangu aje kudhibitisha. Juzi wakili wangu ameniambia anamwandikia kumwita. Analia huyo! Ananiita 'baba'! Sasa kuna wengine ni matusi, wananitukana. Na mpiganaji mzuri unajua timing [muda sahihi]; wakati wa kurusha ngumi, wakati wa kutokurusha."