Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Na mpiganaji mzuri unajua timing [muda sahihi]; wakati wa kurusha ngumi, wakati wa kutokurusha."π₯π₯π₯John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa kuthibitisha madai yao na kulipa fidia wanaweza kupoteza mali zao.
"Nimeanzisha kesi yangu aje kudhibitisha. Juzi wakili wangu ameniambia anamwandikia kumwita. Analia huyo! Ananiita 'baba'! Sasa kuna wengine ni matusi, wananitukana. Na mpiganaji mzuri unajua timing [muda sahihi]; wakati wa kurusha ngumi, wakati wa kutokurusha."
Huyo mtu ni nani na kakutukana nini?
Muasisi wa kutukana na kuporomosha matusi si heche jamani wakati alikua mwenyekiti wa Bavicha?John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa kuthibitisha madai yao na kulipa fidia wanaweza kupoteza mali zao.