instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama.
Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni aina ya wanachama waliopo ndani ya chadema wengi huwa Wana low thinking capacity ni masela masela sana,🤣
HAPPY BIRTHDAY TO ME 🎉 🎈 🎉
Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni aina ya wanachama waliopo ndani ya chadema wengi huwa Wana low thinking capacity ni masela masela sana,🤣
HAPPY BIRTHDAY TO ME 🎉 🎈 🎉