Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Ungekuwa na akili ungetaja hizo mali za chama alizofuja heche. Kama ni pesa ungetwambia shilingi ngapi na zilitoka wapi? Alipewa kama heche au kama mwenyekiti?Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama.
Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni aina ya wanachama waliopo ndani ya chadema wengi huwa Wana low thinking capacity ni masela masela sana,🤣
HAPPY BIRTHDAY TO ME 🎉 🎈 🎉
Lengo la kupewa lilikuwa nn?
Ungekuwa kuwa na akili ungetwambia nani aliyemsafi hapo lumumba nasi tukutajie mtu kama mwigulu anayepokea maburungutu ya fedha cash ?
Ungetutajia hatua zilizochuliwa dhidi ya Yale majizi kwenye taarifa ya CAG
Mpumbavu wewe