Kama Chadomo ni Mali yake na wote walioko Hilo ni nyumbu Wacha kifutwe.Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa makusudi kuvuruga misingi ya kisheria. Kwa hatua zake, Heche anaonekana ama kwa kujua au kutokujua, kukiongoza chama kwenye anguko la aibu
1. Ruzuku Kusitishwa kwa Makusudi
Ruzuku ya serikali ni haki ya msingi kwa chama kilichosajiliwa kisheria. Hata hivyo, CHADEMA imejiondoa kwenye haki hiyo baada ya kukaidi maagizo halali ya Msajili kuhusu uthibitisho wa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu la Januari 2025. Badala ya kuitisha vikao halali na kuwasiliana na msajili kama chama kinavyotakiwa, Heche na uongozi wake wamejifanya kuwa jeuri. Matokeo yake ni hasara kubwa kwa chama, sidhani kama "Tone Tone" itawezesha shughuli zote. Hii ni hujuma ya wazi kabisa.
2. Kugomea Kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi
Kwa miaka yote, CHADEMA imekuwa sehemu ya mchakato wa kisiasa kwa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Lakini Heche na Lissu waliamua kukaidi hatua hii muhimu, hawakwenda kusaini wala kutuma mwakilishi. Kitendo hiki kinakiuka taratibu na kimelenga kukinyima uhalali wa kisheria Chama katika uchaguzi ujao. Huu ni usaliti uliovishwa joho la upinzani.
3. Kushindwa Kudhibiti Migogoro ya Ndani
Baada ya uchaguzi wa ndani, migogoro mingi imeota mizizi, kuondoka kwa viongozi waandamizi kumeendelea kukidhoofisha chama. Uongozi wa Heche na Lissu haujachukua hatua yoyote kupoza makovu ya kisiasa. Badala yake, wamekuwa watazamaji wa mgawanyiko huo huku wakijifanya hawaoni shida yoyote. Migogoro hii sasa imefanya mikoa mingi kukosa viongozi. Hali ni mbaya zaidi maeneo kama Kigoma, Kanda ya Kati na Kaskazini.
4. Kueneza Chuki Dhidi ya Wengine Na kujiona Shujaa
Katika hali ya kushangaza, Heche amekuwa mstari wa mbele katika mijadala ya wazi kuwapaka matope viongozi wenzake, akiwemo Mwenyekiti mstaafu Freeman Mbowe. Hili limezua mvutano mkubwa ndani ya chama, hasa kwa vijana na makada wa muda mrefu. Mtu anayeeneza chuki dhidi ya viongozi wastaafu au viongozi wengine wa chama chake si kiongozi bali ni msaliti, eti yeye anajiona shujaa!
Vitendo vya John Heche si tu vinaathiri CHADEMA kisiasa, bali vitampa Msajili wa vyama vya siasa sababu ya kuhoji uhalali wa chadema. Kama wanachama na wapenzi wa demokrasia, hatuwezi kukaa kimya tukishuhudia chama kinachodai kuwa mbadala kikichukuliwa mateka na watu wenye ajenda binafsi. Heche anapaswa kuwajibishwa kabla CHADEMA haijafutwa kisheria.
Je, mtasema hamkuambiwa? Kazi kwenu.
Hatumuogopi huyo mvuta bangi wenu msajili wa vyama.Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa makusudi kuvuruga misingi ya kisheria. Kwa hatua zake, Heche anaonekana ama kwa kujua au kutokujua, kukiongoza chama kwenye anguko la aibu
1. Ruzuku Kusitishwa kwa Makusudi
Ruzuku ya serikali ni haki ya msingi kwa chama kilichosajiliwa kisheria. Hata hivyo, CHADEMA imejiondoa kwenye haki hiyo baada ya kukaidi maagizo halali ya Msajili kuhusu uthibitisho wa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu la Januari 2025. Badala ya kuitisha vikao halali na kuwasiliana na msajili kama chama kinavyotakiwa, Heche na uongozi wake wamejifanya kuwa jeuri. Matokeo yake ni hasara kubwa kwa chama, sidhani kama "Tone Tone" itawezesha shughuli zote. Hii ni hujuma ya wazi kabisa.
2. Kugomea Kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi
Kwa miaka yote, CHADEMA imekuwa sehemu ya mchakato wa kisiasa kwa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Lakini Heche na Lissu waliamua kukaidi hatua hii muhimu, hawakwenda kusaini wala kutuma mwakilishi. Kitendo hiki kinakiuka taratibu na kimelenga kukinyima uhalali wa kisheria Chama katika uchaguzi ujao. Huu ni usaliti uliovishwa joho la upinzani.
3. Kushindwa Kudhibiti Migogoro ya Ndani
Baada ya uchaguzi wa ndani, migogoro mingi imeota mizizi, kuondoka kwa viongozi waandamizi kumeendelea kukidhoofisha chama. Uongozi wa Heche na Lissu haujachukua hatua yoyote kupoza makovu ya kisiasa. Badala yake, wamekuwa watazamaji wa mgawanyiko huo huku wakijifanya hawaoni shida yoyote. Migogoro hii sasa imefanya mikoa mingi kukosa viongozi. Hali ni mbaya zaidi maeneo kama Kigoma, Kanda ya Kati na Kaskazini.
4. Kueneza Chuki Dhidi ya Wengine Na kujiona Shujaa
Katika hali ya kushangaza, Heche amekuwa mstari wa mbele katika mijadala ya wazi kuwapaka matope viongozi wenzake, akiwemo Mwenyekiti mstaafu Freeman Mbowe. Hili limezua mvutano mkubwa ndani ya chama, hasa kwa vijana na makada wa muda mrefu. Mtu anayeeneza chuki dhidi ya viongozi wastaafu au viongozi wengine wa chama chake si kiongozi bali ni msaliti, eti yeye anajiona shujaa!
Vitendo vya John Heche si tu vinaathiri CHADEMA kisiasa, bali vitampa Msajili wa vyama vya siasa sababu ya kuhoji uhalali wa chadema. Kama wanachama na wapenzi wa demokrasia, hatuwezi kukaa kimya tukishuhudia chama kinachodai kuwa mbadala kikichukuliwa mateka na watu wenye ajenda binafsi. Heche anapaswa kuwajibishwa kabla CHADEMA haijafutwa kisheria.
Je, mtasema hamkuambiwa? Kazi kwenu.
Humu huenda kuna wanaopinga kijani na ni watu wakubwa serikalini na ,kuna viazi wadogo kabisa wao wanatetea na huenda wanaemtetea naye yupo upande wa kupinga kwa id bandia anawachora tu.Mbona siku za hivi karibuni ID za member zimekua nyingi...yani watu wamejiunga sana mwaka huu...na wana hoja fulani hivi za mrengo wa kijani wengi
Hizo ni mbinu za kiccm kutaka kuifuta na kila siku ndio mbinu zenu. Mnalazimisha watu wafuate sheria mkiulizwa ni sheria gani iliyovunjwa hamsemi sasa nyinyi mkiambiwa mnavunja sheria na vifungu kupewa mnajitia majiti ya masikio.Kama Chadomo ni Mali yake na wote walioko Hilo ni nyumbu Wacha kifutwe.
Pili Wafuate ushauri wa ADO.
Kaza fuvuHizo ni mbinu za kiccm kutaka kuifuta na kila siku ndio mbinu zenu. Mnalazimisha watu wafuate sheria mkiulizwa ni sheria gani iliyovunjwa hamsemi sasa nyinyi mkiambiwa mnavunja sheria na vifungu kupewa mnajitia majiti ya masikio.
Ndo hawa wamelipwa n makala kuja kuzima joto la mtandaoni. Tatizo wote ni vilaza kiwango cha SGRMbona siku za hivi karibuni ID za member zimekua nyingi...yani watu wamejiunga sana mwaka huu...na wana hoja fulani hivi za mrengo wa kijani wengi
Kama mnataka kufuta futeni ila hamna uwezo wa kupangia watu katiba yao ambayo wameifuata.Kaza fuvu
Mlimnyima Lissu hela za Matibabu vipi alikufa? Magufuli alizuia ruzuku kwa miaka 5 vipi Chadema ilikufa?Kaza fuvu
Hao ni vijana wa hovyo wanaotumwa kuipambania kijani mkuu.Mbona siku za hivi karibuni ID za member zimekua nyingi...yani watu wamejiunga sana mwaka huu...na wana hoja fulani hivi za mrengo wa kijani wengi
Ni CHADEMA wamejiondoa au wameondolewa? Maagizo halali ni kwa sheria ipi mkuu unisaidie na mimi nijifunze katika hili?Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa makusudi kuvuruga misingi ya kisheria. Kwa hatua zake, Heche anaonekana ama kwa kujua au kutokujua, kukiongoza chama kwenye anguko la aibu
Mkuu, haya mambo yanaendeshwa kwa sheria, kanuni na taratibu, sio kama sheria za baba kwenye nyumba.1. Ruzuku Kusitishwa kwa Makusudi
Ruzuku ya serikali ni haki ya msingi kwa chama kilichosajiliwa kisheria. Hata hivyo, CHADEMA imejiondoa kwenye haki hiyo baada ya kukaidi maagizo halali ya Msajili kuhusu uthibitisho wa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu la Januari 2025. Badala ya kuitisha vikao halali na kuwasiliana na msajili kama chama kinavyotakiwa, Heche na uongozi wake wamejifanya kuwa jeuri. Matokeo yake ni hasara kubwa kwa chama, sidhani kama "Tone Tone" itawezesha shughuli zote. Hii ni hujuma ya wazi kabisa.
2. Kugomea Kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi
Kwa miaka yote, CHADEMA imekuwa sehemu ya mchakato wa kisiasa kwa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Lakini Heche na Lissu waliamua kukaidi hatua hii muhimu, hawakwenda kusaini wala kutuma mwakilishi. Kitendo hiki kinakiuka taratibu na kimelenga kukinyima uhalali wa kisheria Chama katika uchaguzi ujao. Huu ni usaliti uliovishwa joho la upinzani.
3. Kushindwa Kudhibiti Migogoro ya Ndani
Baada ya uchaguzi wa ndani, migogoro mingi imeota mizizi, kuondoka kwa viongozi waandamizi kumeendelea kukidhoofisha chama. Uongozi wa Heche na Lissu haujachukua hatua yoyote kupoza makovu ya kisiasa. Badala yake, wamekuwa watazamaji wa mgawanyiko huo huku wakijifanya hawaoni shida yoyote. Migogoro hii sasa imefanya mikoa mingi kukosa viongozi. Hali ni mbaya zaidi maeneo kama Kigoma, Kanda ya Kati na Kaskazini.
4. Kueneza Chuki Dhidi ya Wengine Na kujiona Shujaa
Katika hali ya kushangaza, Heche amekuwa mstari wa mbele katika mijadala ya wazi kuwapaka matope viongozi wenzake, akiwemo Mwenyekiti mstaafu Freeman Mbowe. Hili limezua mvutano mkubwa ndani ya chama, hasa kwa vijana na makada wa muda mrefu. Mtu anayeeneza chuki dhidi ya viongozi wastaafu au viongozi wengine wa chama chake si kiongozi bali ni msaliti, eti yeye anajiona shujaa!
Lione hilo kibwengoHatumuogopi huyo mvuta bangi wenu msajili wa vyama.
Katiba ya nani vile? Aliyewaita nyumbu aendelee kupewa maua yake. Kinachofuatwa ni sheria ya vyama vya siasa we bwegeKama mnataka kufuta futeni ila hamna uwezo wa kupangia watu katiba yao ambayo wameifuata.
We unaumwaMbinu Za Hovyo Sana Sana
CCM Yenyewe Imeshajifia Ila Inatafuta Nongwa