Heche kumtunishia misuli msajili wa vyama – analazimisha CHADEMA kufutwa?

Lazeni tuu fuvu mnafutwa na tunatamba na Chauma yetu 😂 😂

Mwisho bila uungwana wa Samia saizi kusingekuwa na Chadomo
 
Hivi mnadhani kukifutia usajili chama cha siasa kikubwa Kama CHADEMA ni sawa na kumfuta uanachamq mtu?
 
We mbwa unalipaga kodi, fukara bloodfucken
 
Afute tu, anasubiri nini
 
Pale lumba 7 kwa cku mtaipata kwa tabu MNO.
Dk. Gwajima bishop mkuu w ufufuo n uzima peleka moto tu.
Nijuavyo mm hoja ujibiwa kwa hoja TU.
New member ur welcome
Kazi ni kipimo cha utu
 
Msajili kama yupo na nguvu kuliko nchi na Mungu akifute chama, unampigiaje magoti mtu anayevunja sheria katika kutekeleza sheria kifutwe ili msajili apate amani, kufuata ushauri wa ADO japo ni mzuri ila sasa nikuonekana kwamba chadema ilivunja sheria ,huu ni mtego , afute , tumechoka drama
 
Q
Hivi mnadhani kukifutia usajili chama cha siasa kikubwa Kama CHADEMA ni sawa na kumfuta uanachamq mtu?
Subiri tu utajua sheria inaangalia hicho unakiita ukubwa ambao kimsingi haupo mnajipa sifa za kijinga tu, wanachama wa chadomo ni wa msimu na wafuata upepo, upepo umeshabadilika chadomo haina wanachama tena
 
Mbona siku za hivi karibuni ID za member zimekua nyingi...yani watu wamejiunga sana mwaka huu...na wana hoja fulani hivi za mrengo wa kijani wengi
Umejiuliza swali nililokuwa najiuliza, but nadhani wengi wao ni wale wale tulio nao siku zote ila wameamua kuja na id tofauti kwa mlengo huo uliosema.
 
Hivi vitendo vya Msajili kulazimishwa viongozi ndani ya vyama sio sawa.
 
Msajiri hana mamraka ya kufuta chama. Hata kuzuwiya ruzuku ni utahila wake tu lakini hana hayo mamuraka. Yaani ruzuku inayo tokana na kodi za wananchi inakuwaji mtu mmoja mpupambavu kama mtungu anamuwa nani wa kuitumia na nani asiitumie? Tuna nchi inayo ongozwa na wagojwa wa akili.
 
Umebaki kutapatapa.

Jana watu wamekushona kwenye comments baada ya kuleta uchambuzi uchwara eti unajibu hoja za Gwajima.

Hayo maigizo yenu na msajili kada wa CCM yatakwisha na ndio atafahamu madhara ya kutumika na watawala wakati huo wakiwa hawapo waliomtuma.
 
itaendeshwa kwa tonetone, chadema iko mioyoni mwa watu haihitaji usajiri, inaweza endeshwa kama kamati ya mazishi
 
Mbona siku za hivi karibuni ID za member zimekua nyingi...yani watu wamejiunga sana mwaka huu...na wana hoja fulani hivi za mrengo wa kijani wengi
Bajeti ya uchaguzi wa mwaka huu ni kubwa sana Pesa imemwagwa kila mahali

Bajeti ya mwaka huu inavunja rekodi toka uhuru

Chawa wamemwagwa kila mahali wanashambulia kama vichaa
 
mkuu chadema ni kama mkia wa kenge unavyoukata ndo unazidi kurefuka na anakuwa na nguvu zaidi, ukiuacha unarefuka unafika kikomo na kenge anakuwa mzito hawezi tena kukimbia, ukiifuta cdm ndo inakuwa na nguvu kwani hautajua kiongozi ni nani na hautaweza kuisimamia, ni kama genge linalopiga mwizi ukomo wake ni mwizi afe kwani halina kiongozi
 
Kwan we Chadema inakuuma nini, ifutwe, isifutwe wewe inakuuma nini.
 
Q
Subiri tu utajua sheria inaangalia hicho unakiita ukubwa ambao kimsingi haupo mnajipa sifa za kijinga tu, wanachama wa chadomo ni wa msimu na wafuata upepo, upepo umeshabadilika chadomo haina wanachama tena
Unaongea kama mjinga asiyekua na uelewa wa anachongelea
 
Q
Subiri tu utajua sheria inaangalia hicho unakiita ukubwa ambao kimsingi haupo mnajipa sifa za kijinga tu, wanachama wa chadomo ni wa msimu na wafuata upepo, upepo umeshabadilika chadomo haina wanachama tena
Hebu soma tena ulichoandika, isije ikawa umeandika kwa kutumia vidole vya miguu badala ya mikoni.
 
CHAMA sio kipande Cha karatasi ambacho unaweza KUFUTA maandishi au kuchana karatasi!
Ilaha ni ITIKADI ILIYO JIKITA NDANI YA MIOYO YA WANACHAMA WAKE.
Kaburu aliifuta ANC Kwenye karatasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…