Heche kumtunishia misuli msajili wa vyama – analazimisha CHADEMA kufutwa?

Yapi mawazo yako,ni ndiyo au hapana?
 
Q
Subiri tu utajua sheria inaangalia hicho unakiita ukubwa ambao kimsingi haupo mnajipa sifa za kijinga tu, wanachama wa chadomo ni wa msimu na wafuata upepo, upepo umeshabadilika chadomo haina wanachama tena
We huna tofauti na ndomu watakutumia halafu watakudump
 
Chadema ni chama cha wananchi wote, ni Taasisi hakiwezi kufutwa kaw ajili ya HECHE pekee, chama kinaweza kubadilisha uongozi na kikaendelea kufanya kazi. Athari za mtu mmoja asiye na busara huwezi kutoa adhabu kwa chama kizima na wanachama zaidi ya 10 m.
 
Huyo ni msajili wa vyama au wa vyoo? Maana hakuna msajili wa vyama duniani ana ukuda kama huyo wenu. Badala ya kufuata kanuni za uendeshaji wa vyama vya siasa yeye anapokea na kufuata maagizo ya serikali na chama tawala. Shubhaaaaamit!
 
Usiumie sana, it’s well and good kama members wenyewe ambao mpaka sasa wakalalamika. Goodness ndani ya chama chao hawafungwi kwa pingu ndiyo maana wasioridhika na mienendo ya chama sanatoria wenyewe, kamba members waliobaki wanaridhika na mfumo wa uendeshaji wa chama who are we kuwapangia katika yasiyotuhusu?
 
Kama ccm mlitunga sheria za kukandamiza vyama vingine, basi safari hii mmeukalia. Mlizoea huko nyuma kuburuza vyama vingine kwa sheria za hila, kwa sasa cdm wamejitoa muhanga hawako tayari kuburuzwa tena. Zitungwe sheria za mfumo wa vyama vingi, na sio sheria za demokrasia ya chama kimoja kwenye vyama vingi. Mabadiliko ni lazima maana kama ni kuombwa mmeshaombwa sana, lakini kwakuwa ccm wanafaidika na mfumo na sheria hizi, hamko tayari zibadilike.
 
Mbona siku za hivi karibuni ID za member zimekua nyingi...yani watu wamejiunga sana mwaka huu...na wana hoja fulani hivi za mrengo wa kijani wengi
Mfano huyu kajiunga February 8, 2025.. POST zake huwa zimepangiliwa kama biblia ,,, 😄 😄
 
Katiba ya nani vile? Aliyewaita nyumbu aendelee kupewa maua yake. Kinachofuatwa ni sheria ya vyama vya siasa we bwege
Hizo sheria tumezistukia, mliburuza sana vyama vya upinzani kwa sheria za ghiliba, sasa imefika mwisho. Tunataka katiba mpya, na tumeshatoa muda wa kutosha, lakini hamko tayari maana nyie ni wafaidika wa hizi sheria zinazoibeba ccm. Zama zimebadilika, kama hamtaki kubadilika basi nyakati zitawabadilisha kwa lazima.
 
Ww mjinga sana
 
Mbona siku za hivi karibuni ID za member zimekua nyingi...yani watu wamejiunga sana mwaka huu...na wana hoja fulani hivi za mrengo wa kijani wengi
Naskia Wana group Lao la WhatsApp wanalipwa 200k Kwa mwezi, kazi yao NI kwenda kwenye kila post ya Mitandao ya KIJAMII kutetea kijani, usishangae hao wapo kazini mwisho wa mwezi ana laki2 Yake ya maji
 
Hehe ni Mkulya na Mkulya habembelezi mtu yeyote.Mkulya mpe kazi ya kijeshi yuko vizuri sana,lakini umpe kazi ya siasa aubembeleze upande wa pili sio rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…