Heche: Lissu anaumwa sana Tumbo, nimeongea na mdogo wake

Heche: Lissu anaumwa sana Tumbo, nimeongea na mdogo wake

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

"Leo wakati nakuja hapa nimepigiwa simu na mdogo wake Lissu, anaitwa Vicent, amenambia tangu jana Jioni, mwenyekiti wetu anaumwa sana Tumbo, linamkaba ila aharishi, tumesema tena na tena na tena Lissu akipata Shida haitaeleweka nchi hii, Hatutakubali, kiongozi wetu alichukuliwa akiwa mzima, tunamtaka atoke akiwa mzima, hilo nafikiri limeeleweka naona tuliishie hapa." - John Heche
 
Dhambi zote zitasamehewa ila dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu haitasamehewa kabisa

Bora uchukue kahaba ujifungie naye ndani kuliko huu ujinga unaouandika
that's the truth,
huenda roundworms imekomaa mno na kua chronic.

hua haiponi kabisa kwasababu ya chronic stress.
muungwana alikua anaenda kizimbani na contena la ubwabwa,,, watu wakajua ni swag au fashion, kumbe jamaa ni ngonjwa 🐒
 
aseme tu wazi kwamba muungwana muhaini kibaraka ana minyoo chronic mikali sana 🐒
4ab35955-3149-477e-902b-bae29651ca36.jpeg
 
Acha Aumwe tu kwani yeye ndio wa kwanza kuumwa Tumbo? Watanzania wangapi wanaumwa Matumbo? Kwani yeye ni nani mpaka asiumwe tumbo? Acheni porojo zenu hapa. Ataendelea kukaa huko huko ndani mpaka akili imkae sawa na tumbo lake
 
Minyoo inakaa kichwani siku hizi kumbe gentleman
Yes gentleman,
chronic roundworms inawezapanda hadi kichwani, na nywele za muathirika bubadili rangi na kua nyekundu na kuanza kupukutika taratibu zenyewe tu na hatimae changamoto ya afya ya akili huchukua nafasi yake kwa muhusika 🐒
 
Acha Aumwe tu kwani yeye ndio wa kwanza kuumwa Tumbo? Watanzania wangapi wanaumwa Matumbo? Kwani yeye ni nani mpaka asiumwe tumbo? Acheni porojo zenu hapa. Ataendelea kukaa huko huko ndani mpaka akili imkae sawa na tumbo lake
na ni muhimu sana akapewa na haki yake ya kunyongwa hadi kufa kulingana na makosa yake kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
Yes gentleman,
chronic roundworms inawezapanda hadi kichwani, na nywele za muathirika bubadili rangi na kua nyekundu na kuanza kupukutika taratibu zenyewe tu na hatimae changamoto ya afya ya akili huchukua nafasi yake kwa muhusika 🐒
You’re too dumb to even know you’re dumb!
 
Back
Top Bottom