Heche: Lissu anaumwa sana Tumbo, nimeongea na mdogo wake

Heche: Lissu anaumwa sana Tumbo, nimeongea na mdogo wake

May God help and protect TAL😭
It needs to be better than this.

The same "God" is more than willing to "protect TAL" through actions taken by all Tanzanians willing to do God's willingness to protect CHADEMA's Chairman; and Tanzania's patriot languishing in jail because of the fear he evokes in those who put him there.
 
Ila Mh Heche uwasilishaji wake wa hoja mpaka naogopa.
Ningemsihi Mhe. Heche aachane na maneno hayo ya kusubiri hadi litokee jambo kwa Mwenyekiti, ndipo yatokee hayo mengine.

Hawa watu anaowaambia maneno hayo tayari na watu waovu. Wamekwisha onyesha kiasi cha uovu usiokuwa na kikomo kwa kuua waTanzania ili waendelee kukaa madarakani.

Hawa siyo watu wa kuwasemea maneno teana; kwani hayawagusi kabisa.

Badala yake nashauri awaeleze waTanzania kwa utulivu tu, hali ya Mwenyekiti ilivyo; na hatua zinazotakiwa kuchukuliwa na chama kikitegemea ushirikiano na wananchi kutimiza malengo ya kuondoa uovu huu uliolighubika taifa wakati huu..

Siyo tena wakati wa kusubiri jambo baya jingine limpate Mwenyekiti ndipo hatua zichukuliwe. hatua zinatakiwa zifanyiwe mikakati wakati huu.
 
Baada ya serikali haramu kushindwa kumuua Lissu kwa risasi na pia kushindwa kumtia hatiani kwa mashataka ya kubuni ya uhaini wameamua kumuweka kizuizini na kumnyima matibabu ili afe maradhi na athari za majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi 16. Wameipaki kesi yao mahakama ya rufaa ili kusubiria kifo chake. Samia ni mwanamke katili kuliko hata ibilisi.
 
Acha Aumwe tu kwani yeye ndio wa kwanza kuumwa Tumbo? Watanzania wangapi wanaumwa Matumbo? Kwani yeye ni nani mpaka asiumwe tumbo? Acheni porojo zenu hapa. Ataendelea kukaa huko huko ndani mpaka akili imkae sawa na tumbo lake
Wewe mjinga siku ya siku tutakuchoma moto kama kibaka wa simu.
 
Kama umeshindwa kumpa pole, kulikuwa na haja gani ya kuendelea kuonyesha ushetani wako hapa!!???
pole ipi tena na tulishatahadharisha mapema kua muungwana ana minyoo sugu alipokua anatembea na bakuli la ubwabwa hadi kizimbani na ikapuuzwa?šŸ’
 
Mungu ampe taafifu kwenye kipindi hiki. Hivi Samuya ww jamani kwanini lkn wee maza.
 
Kama ni kweli, basi apatiwe matibabu stahiki haraka...kupata matibabu sahihi ni haki ya MSINGI ya Mtanzania yeyote..Raia ,Mahabusu na hata mfungwa
 
Kama machawa watakavyoangamizwa huko tuendako host wao atakapotoweka.
kwani na nyie wafuata mkumbo mnaenda kuolewa na wanaume wenzenu ubeligiji?

angalieni jamani,
kibaraka muhaini anateseka na chronic roundworms baada ya kushiriki ujinga wa jinsia moja na aliemuoa huko ughaibuni šŸ’
 
Lissu yupo mpaka ushuhuda ukamilke take it from me.
 
Back
Top Bottom