Heche Msibani kwa Bwege: Lissu angekuwepo angekuja kumzika Bwege 'alimpenda sana'

Heche Msibani kwa Bwege: Lissu angekuwepo angekuja kumzika Bwege 'alimpenda sana'

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Makamu Mwenyekiti Bara John Wegesa Heche amemuelezea Marehemu Selemani Bungara(Bwege) kama mtu ambae aliyesimama imara kuwapigania wananchi kila alipopata nafasi huku akiwa hayumbishwi.

Heche amezungumza hayo leo Machi 31, 2026 aliposhiriki mazishi ya Bwege Kilwa Kivinje mkoani Lindi na kueleza kuwa Bwege mwenyewe alimpenda sana Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kutokana na misimamo yake.

Pamoja na hayo Heche ameeleza kuwa kama Lissu asingekuwa gerezani basi siku ya leo angeshiriki mazishi ya Bwege kutokana na kuwa pia yeye alimkubali Marehemu Bwege.


 
Mh Bwege hakuwa na tamaa ya madaraka wala Mali, alitanguliza utu na binadamu mbele, kama alivyo Lissu kama ni madaraka anawezakuyapata hata Leo akiyataka,lakini kwao hawa wawili Utu na Binadamu mbele kwanza
 
Wema hawana maisha lakini waovu,mafisadi, watekaji na wauaji ndiyo wanaishi maisha marefu. R I P Mzalendo Bwege.
 
Back
Top Bottom