Heche ni hatari kwenye siasa za nchi hii kiasi hiki?

Heche ni hatari kwenye siasa za nchi hii kiasi hiki?

Zuio la mahakama liko wazi kuwa ni marufuku rasilimali za CHADEMA kutumika kwenye siasa hadi kesi iamuliwe

Hao akina Kikeke na kukaa uingereza kote hawajui tafsiri ya rasilimali au resources za taasisi au chama? Kuwa resources sio majengo na magari na akaunti tu kuna rasilimali watu yaani human resources za chama Heche ni Rasilimali watu ya Chadema

Walimruhusuje ,wajinga wakubwa
.uingereza hajujawapa weledi wa mambo?
Kwa hiyo mimi siruhusiwi kumkodi huyo JH kama dereva kwa ajili ya kunipeleka sehemu mimi na familia yangu kwakuwa tu ni kiongozi wa chama cha siasa mpaka kesi itakapo amuliwa?
 
Aliyesema huyu mtu amechanganyikiwa hajakosea hata kidogo, alianza kumuogopa aliyemuita mdogo wake hadi akamzulia kesi ya uhaini na kumtupa lupango akisubiria kunyongwa hadi afe, sasa anamuogopa hata huyu ambaye kiumri ni mtoto wake wa kumzaa kabisa anampiga pini asiongee chochote, huu siyo woga tu bali ni wendawazimu kabisa.
 
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...

Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
Hakuna wakujibu hoja wanachama 13 Milioni hata tumbili anaeonekana ndio mkali wao au Obama wa Tanga au Diego sasa chama gani hicho?


No reform No Election
 
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...

Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
Siyo hatari,ni Mpuuzi mmoja hivi !
 
Itakua kaogopa tu ziara zake zingebuma, watu wangekua bize na NRNE.....
 
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...

Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
Kwa hiyo CAFETALK ni mali ya Chadema au mimi ndio sijaelewa? Amri ni kutofanya sias kutumia mali za chama , sasa hii CAFETALK au crown ya Kikeke , tangu lini ikawa ni kutimia mali za CDM?
 
Back
Top Bottom