Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Kwa hiyo mimi siruhusiwi kumkodi huyo JH kama dereva kwa ajili ya kunipeleka sehemu mimi na familia yangu kwakuwa tu ni kiongozi wa chama cha siasa mpaka kesi itakapo amuliwa?Zuio la mahakama liko wazi kuwa ni marufuku rasilimali za CHADEMA kutumika kwenye siasa hadi kesi iamuliwe
Hao akina Kikeke na kukaa uingereza kote hawajui tafsiri ya rasilimali au resources za taasisi au chama? Kuwa resources sio majengo na magari na akaunti tu kuna rasilimali watu yaani human resources za chama Heche ni Rasilimali watu ya Chadema
Walimruhusuje ,wajinga wakubwa
.uingereza hajujawapa weledi wa mambo?
Hakuna wakujibu hoja wanachama 13 Milioni hata tumbili anaeonekana ndio mkali wao au Obama wa Tanga au Diego sasa chama gani hicho?Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...
Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
Siyo hatari,ni Mpuuzi mmoja hivi !Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...
Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
Mbona wamemkataza kufanya mahojiano yake sasa muheshimiwa.Siyo hatari,ni Mpuuzi mmoja hivi !
Kwa hiyo CAFETALK ni mali ya Chadema au mimi ndio sijaelewa? Amri ni kutofanya sias kutumia mali za chama , sasa hii CAFETALK au crown ya Kikeke , tangu lini ikawa ni kutimia mali za CDM?Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...
Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye siasa za nchi yetu kiwango hicho?
Tafakuri pana sanaKwa hiyo CAFETALK ni mali ya Chadema au mimi ndio sijaelewa? Amri ni kutofanya sias kutumia mali za chama , sasa hii CAFETALK au crown ya Kikeke , tangu lini ikawa ni kutimia mali za CDM?
Heche sio muajiriwa wa CHADEMA na anaweza shiriki kama mwanasiasa sio mwenyekiti wa chadema.Heche ni Rasilimali watu ya Chadema