Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

Niambie ni nani Mwenye akili Timamu anayeiunga Mkono CHADEMA?
Niambie mtu mwenye akili timamu anayeamini gasoline lita moja inauzwa euro 6000.

Uko hapa unapanua panua domo hilo bila kujua biashara ya mafuta inahodhiwa na cartels wachache ambao ndio wanafanya monopoly kuumiza wananchi.

Wamiliki wa dalaladala wameshaweka mgomo sasa sijui chawa mnafikiri uchumi ni propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…