PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Anahangaika tu
Hueleweki. Ni nani "Anahangaika tu". Heche anahangaika?
Hapo Mwanza panajulikana kuna Genge la "Askari wa Samia", waliojiapiza kumrudisha Samia madarakani kwa njia zozote zile, hata za haramu, hata ikiwa ni kumwaga damu ya waTanzania.
Mtanda (RC) hawezi kuruhusu CHADEMA wafanye mikutano ya NRNE hapo.
 
Polisiccm mahakamaccm Tumeccm vyote vinatumika kukandamiza Demokrasia kwa sasa ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
ni mwendo wa kutafuta kiki tu saivi na public sympathy kujaribu kufunika trending ya maamuzi ya g55 🐒
 
Unasema kweli, mkuu 'kinoamiguu'?
Nakuambia kweli kabisa na ni jambo limemtokea mtu wa karibu kabisa. Baada ya kulazwa ocean load akahamishiwa muhimbili.
Wao machawa wanafikiri adui mkubwa wa nchi hii ni lisu wakati watu wanakufa kwa kukosa pesa za dawa muhimbili hapo
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho hana Polisiccm watesi waonevu wanaotumika kuwapiga chadema watasitaafu na kusota mitaani, walikuwepo madikiteta hatari akina Elibashiri wa Sudan, Sadam Hussein, iddy Amini Dada, Mabutu, Chiluba, Rungu, Bokasa , makaburu wa Africa kusini na wenzao leo hii wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Sasa Heche Mwananzengo mwenzangu wa Majengo, Mkolani wewe Serikali ikukamate kwa lipi?
 
ni mwendo wa kutafuta kiki tu saivi na public sympathy kujaribu kufunika trending ya maamuzi ya g55 🐒
Kiki ni Polisiccm kujimwambafai kwa uonevu na kuwabambikia kesi chadema
 
Sasa Heche Mwananzengo mwenzangu wa Majengo, Mkolani wewe Serikali ikukamate kwa lipi?
Kwani siku zote huwa mnawakata kwa lipi? Uonevu wenu wa kishetani huwa mnao saa 24, kazi yenu haramu ya kuwabambikia kesi mtaacha lini?
 
Duh!

Hawa jamaa akina Heche huwa ni pasua kichwa kweli kweli.

Halafu ukute ni msomi, ndiyo kabisaa!

Wakishaamua jambo lao, lazima litimie.

Tuendelee kuombea amani katika nchi yetu.
Kwanini hampendi kuombea haki? Hiyo amani Mzee Kibao aliipata?
 
Kiki ni Polisiccm kujimwambafai kwa uonevu na kuwabambikia kesi chadema
Gentleman,
nani atalionea liropokaji kama hilo lenye stress za za maisha baada ya kufilisiwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti hata anaishi upweke kwa wazazi wake?🐒
 
Hawa CCM wamepoteana vibaya sana, wameshindwa kihoja, kwenye mikutano, mahakamani ndio hivyo tena. Hawana ushawishi tena
Makala hana mvuto kama makonda, kazi ya makala ni kuwatuma Polisiccm kuwatesa chadema tu
 
Namwomba Makamu Mwenyekiti, John Heche awatibulie mpango wao wa kumkamata.

Asitokee kwenye mkutano wa hadhara hapo, awaachie viongozi wengine waendeshe elimu ya NRNE!

Kwa kuwa wamelenga kumkamata yeye kwenye mikutano hiyo, watamkosa.
Aende kwenye mikutano mingine kwingine, ambako hakuna hilo Genge la "Askari wa Samia".
 
Kwani siku zote huwa mnawakata kwa lipi? Uonevu wenu wa kishetani huwa mnao saa 24, kazi yenu haramu ya kuwabambikia kesi mtaacha lini?
Wakiwa na adabu kwa Serikali na Viongozi wake, hakuna shida. Ila wakiwa na akili kama Mdude, ni kipondo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…