Kazingirwa na maji au?Kwa mujibu wa Heche ktk account ya x
hao polsisiemu wanaonyesha walivyo zero vichwaniKwa mujibu wa Heche ktk account ya x
Weka taarifa iliyokamilika usitoe taarifa nusu nusu.Kwa mujibu wa Heche ktk account ya x
Mkuu acha KUKURUPUA ili mradi tu uwe wa kwanza kuanzisha uziKwa mujibu wa Heche ktk account ya x
Haina jipya tenaCCM imefika mwisho.
DramaKwa mujibu wa Heche ktk account ya x
Watanzania tuko busy na Simba kufuzu Fainali cafCCM imefika mwisho.
CCM ni waoga sana. Wanatishwa na watu watatu tu ambao hawana hata jeshi.Kwa mujibu wa Heche ktk account ya x
Unalalaje kwako Heche dahTangu saa sita usiku polisi wamezingira Nyumbani kwa mhe Lissu, wamejaribu kutaka kuingia ndani, lakini ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo.
#John Heche.
Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo.
Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia.
#John Heche.