PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Iko hivi bosi, ukiona yanayoendelea kumbuka enzi za kifo cha Daudi Mwangosi, alikufa mchana kweupe na aliuawa kwa mkono wa polisi mchana kweupe. Sisi wazalendo tunacholaani ni kukosa political strategist ndani ya vyama vyetu. Kwa mantiki hiyo namuondoa kabisa Dkt Magufuli kwenye huo ujinga, ila ukiniambia tuna mfumo wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama unaotumikishwa na wanasiasa hapo nakubaliana nawewe.
Unamuondoaje jiwe wakati yeye ndiye muasisi wa madhila yote yanayoendelea nchini sasa hivi?
Yaani Mama yeye ameuperfect na kuintensfy ukatili wote wa dikteta uchwara.
 
Unamuondoaje jiwe wakati yeye ndiye muasisi wa madhila yote yanayoendelea nchini sasa hivi?
Yaani Mama yeye ameuperfect na kuintensfy ukatili wote wa dikteta uchwara.
Usiwe mjinga bosi. Mfumo ni mkubwa kuliko mtu.
 
Nimekosa mimi nimekosa sana. Naomba Mungu na wewe mnisamehe.
Bila msamaha kabisa bosi. Ndiyo maana Mzee Kibao died plainly mchana kweupe na Dkt Magufuli ni mifupa tu ila mfumo upo. Kinachotakiwa ni kubadili mfumo kwanza lakini tukikalia kumlaumu Dkt Samia haisaidii maana na yeye anaendeshwa na mfumo. Let’s do overhaul of the so called mfumo. Ukiona akina Heche and the like wanataka kuuawa ujue mfumo unaona maslahi yao yanakuwa hatari. Na ndiyo maana hata enzi zile tuliwaambia Dkt Magufuli had nothing to do with kidnapping etc.
 
Thubutuu!
Binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri, binadamu akipata changamoto hasa yasiyotarajiwa,(uncertainty) uwezo wake wa kufikiri huongezeka
The challenge is how to overcome uncertainty at desired time, (strategy formulation), considering adaptability skills
 
Binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri, binadamu akipata changamoto hasa yasiyotarajiwa,(uncertainty) uwezo wake wa kufikiri huongezeka
Labda kama unataka mmtikisiko kwenye strong holds!
 
Back
Top Bottom