PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
BREAKING: Jeshi la Polisi limeizingira nyumba ya Mwenyekiti wa Chadema tangu saa sita usiku. Lengo ni kuingia na kusachi nyumba yake. Mpaka sasa waliomo ndani wamegoma kuwaruhusu polisi kuingia.

GpmnOmjWYAA6wUX.jpg
 
Tangu saa sita usiku polisi wamezingira Nyumbani kwa mhe Lissu, wamejaribu kutaka kuingia ndani, lakini ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo.

#John Heche.

Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo.

Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia.

#John Heche.
Hapo ndipo pa kuonesha ukamanda wake Sasa 😁😁c
 
usalama kwa viongozi ni muhimu ndugu polisi wanalitekeleza hilo bila ya upendeleo
 
Wakati mwingine anatakiwa awe mjanja. Alale hata kwa mchepuko, halafu ile asubuhi wanashtukia tu jamaa ameibukia mahakamani.
Unadhani hawajui? Heche anapewa taarifa zote kutoka kwa wenye nia nzuri na nchi waliopo ndani ya system. Siku akilala huko unakosema ndiyo mwisho wake.
Wanamtekea hukohuko na kumpoteza mazima, viongozi wa CHADEMA mimi ninawaona kama wenye busara sana waendelee hivyohivyo.

Ningelikuwa mimi ndiyo nipo kwenye nafasi zao hizo, zamani sana ningeshawanunua the killers ata Bungeni pangesharushwa bomu tuanze upya.
 


View:

%5BURL%20unfurl=%22true%22%20media=%22twitter:1916720704587759768%22%5Dhttps://x.com/HecheJohn/status/1916720704587759768?t=mjzIz8jqaOdw6vJ7tdaI-g&s=19





Kwa Mtu yoyote yule ambaye ana uelewa mpana kuhusiana na masuala haya ya Siasa za Ulimwengu juu ya masuala ya Utawala wa nchi, anatambua wazi kabisa kwamba hizi ni dalili za mwisho kabisa kuhusiana na hatma ya Utawala fulani kabla ya Utawala au Dola hiyo kuanguka na kuhitimisha enzi zake, it is The Beginning of the End!
 
Back
Top Bottom