Wasiwaruhusu kabisaBREAKING: Jeshi la Polisi limeizingira nyumba ya Mwenyekiti wa Chadema tangu saa sita usiku. Lengo ni kuingia na kusachi nyumba yake. Mpaka sasa waliomo ndani wamegoma kuwaruhusu polisi kuingia.
Kesi iko mahakamani kama wana ushahidi wapeleke hukowanazuisha jeshi kutimiza majukumu yske
Hivi polisi wetu huwa hawana akili timamu?BREAKING: Jeshi la Polisi limeizingira nyumba ya Mwenyekiti wa Chadema tangu saa sita usiku. Lengo ni kuingia na kusachi nyumba yake. Mpaka sasa waliomo ndani wamegoma kuwaruhusu polisi kuingia.
Usalama ganiusalama kwa viongozi ni muhimu ndugu
Na wakiingia tu wanandmbika kitu wanapiga video wanazema cha MwenyekitiBREAKING: Jeshi la Polisi limeizingira nyumba ya Mwenyekiti wa Chadema tangu saa sita usiku. Lengo ni kuingia na kusachi nyumba yake. Mpaka sasa waliomo ndani wamegoma kuwaruhusu polisi kuingia.
Maajabuwanazuisha jeshi kutimiza majukumu yske
Mungu ameamua kuwafanya vipofu ili utawala wa hila uanguke.Hivi polisi wetu huwa hawana akili timamu?
Kuwa na kumbukumbu, Dola zinaangushwaga. Sadamu alikuwa na Dola, Gadaf, Amin, yule wa Sudan, juzi tu Assad.Huwezi kupambana na mwenye dola, wako serious aise wanaweza kukubutua kweli
i hope they were smoking weedsMaajabu
Halafu hao waliomo ndani ni kina hao hadi wagome kutii ? Wana nini humo ndani?
Watasababisha machafuko yasiyo na msingiMungu ameamua kuwafanya vipofu ili utawala wa hila uanguke.
Lengo lao ni kuja kuplant ushahidi wa uwongo ili kukidhi lengo lao la kumtia Lissu hatiani kwa kesi ya uhaini ili anyongwe hadi kufa, Samia amedhamiria Lissu anyongwe hadi kufa.Wasiwaruhusu kabisa
wapi wamepambana au dolo ndo iko topeniHuwezi kupambana na mwenye dola, wako serious aise wanaweza kukubutua kweli
Watawala wetuAnayepanga huu ujinga ni nani jamani?
Hana hata aibu
Huyo Mwenyekiti ni nani ni wa mtaa au kitongoji wa Chadema?BREAKING: Jeshi la Polisi limeizingira nyumba ya Mwenyekiti wa Chadema tangu saa sita usiku. Lengo ni kuingia na kusachi nyumba yake. Mpaka sasa waliomo ndani wamegoma kuwaruhusu polisi kuingia.