Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 1,060
- 2,313
Nyani atatema bungo mwaka huuKazingirwa na maji au?
Nyani atatema bungo mwaka huuKazingirwa na maji au?
Picha ziko wapi ?BREAKING: Jeshi la Polisi limeizingira nyumba ya Mwenyekiti wa Chadema tangu saa sita usiku. Lengo ni kuingia na kusachi nyumba yake. Mpaka sasa waliomo ndani wamegoma kuwaruhusu polisi kuingia.
Namimi naona hii ni kama ku sabotage huu utawala dhalimu. Njia za kumuangusha shetwani ni nyingi.Polisi wameamua kuungana na wananchi kuangusha utawala dhalimu wa Samia kwa kufanya makosa ya wazi kabisa.
Huwezi kupambana na mwenye dola, wako serious aise wanaweza kukubutua kweli
Nenda hata hapo Zambia ukajifunze sio kuleta akili ya kiccm kwenye mambo yanayokuzidi uelewaHuwezi kupambana na mwenye dola, wako serious aise wanaweza kukubutua kweli
Wakisha kubutua wao wataishi milele?Huwezi kupambana na mwenye dola, wako serious aise wanaweza kukubutua kweli
DJ FAM kaziniMakamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;
"Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."
View attachment 3318341
Hapo awali Heche alieleza pia kuwa polisi wamezingira nyumbani kwa Tundu Lissu ambapo walikuwa wakitaka kuingia ndani lakini ndugu waliwazuia. Heche anaandika;
"Tangu saa sita usiku polisi wamezingira Nyumbani kwa mhe Lissu, wamejaribu kutaka kuingia ndani, lakini ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo."
View attachment 3318343
"
Dawa yao ni kikokotoo yaache yajitoe ufahamu...Ndio maana nasema tuna POLISI wapumbavu, ni POLISI wana SIASA, Ni POLISI wasio na weredi wanaoangalia matumbo yao. Heche ana tatizo gani kwenda mahakamani? Hivi JESHI lipo kweli? Linaona huu upumbavu na liko kimya?
Aisee, maelekezo kutoka juuMakamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;
"Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."
View attachment 3318341
Hapo awali Heche alieleza pia kuwa polisi wamezingira nyumbani kwa Tundu Lissu ambapo walikuwa wakitaka kuingia ndani lakini ndugu waliwazuia. Heche anaandika;
"Tangu saa sita usiku polisi wamezingira Nyumbani kwa mhe Lissu, wamejaribu kutaka kuingia ndani, lakini ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo."
View attachment 3318343
"
Kwani ubnadhani kuwa hajui kuwa hhawezi kupambana na dola anajua kabisa hata kinjekitile ngwale alikuwa anajua kabisa hawezi kupigana na wakoloni na lile swala la Risasi kugeuka maji alikuwa anajua kabisa anadanganya lakini hakukubali kutawaliwa kishenzi aliona bora afe kuliko kufanywa kibaraka hata heche anajijua hana chembe ya uwezo wakupambana na hii dola lakini hawezi kukubali kuishi kwenye jamii ambayo anaona kabisa watu wanakandamizwa waziwazi anaona bora afe au afungwe kuliko kutazama kwa macho yake ukandamizaji ulio pitiliza,Nenda mahospitali utakuta watu wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kabisa fedha sinafanyiwa ufujaji wa hali ya juu kwenye nchi watu wanakufa kama kuku ,Tazama miradi mingi imesimama fedha hakuna lna wakandarasi hawslipwi pesa zao kwa wakati lakini zipo pesa za kununua goli la mama.Nenda magerezani watu wamerundikana kibao kesi azisikilizwi kws wakati kwa sababu ya upungufu wa mahakimu na majaji kesi inawe,z kupikwa kalenda miaka mitatu kisa jaji anakazi nyingi.Angalia vituo vya POLISI huwezo wakupeleza kesi hawana wewe ukifika kituoni utapigwa kisha unaambiwa ukiri kosa ,tayari wameshamaliza upelezi hapo mtu anapelekwa mahakamani.bitu kama hivyo Heche hawezi kuvivumilia.Bora na yeye anaona akafungwe kuliko kuangalia manyanyaso hayo wanancho wanayo fanyiwa.Huwezi kupambana na mwenye dola, wako serious aise wanaweza kukubutua kweli
Unataka picha ya mama'ko auPicha ziko wapi ?
Ushahidi uko wapi ?
Au unataka kutuaminisha kinadharia TU toa picha kamili
Wapi Huko Mkuu!,Lengo lao Nini,?!!BREAKING: Jeshi la Polisi limeizingira nyumba ya Mwenyekiti wa Chadema tangu saa sita usiku. Lengo ni kuingia na kusachi nyumba yake. Mpaka sasa waliomo ndani wamegoma kuwaruhusu polisi kuingia.
Hawa jamaa ni wapumbavu mnoDawa yao ni kikokotoo yaache yajitoe ufahamu...
Na karma ilivyo really huwa wanaishi maisha ya mateso sana...uzeeniHawa jamaa ni wapumbavu mno
Ujinga mzigo, kwahiyo hayo maji ndo yamekuja na magari manne na yanataka kuingia ndani kukagua?Kazingirwa na maji au?
Siyo kila liandikwalo lazima usome, mengine yapotezee.Mkuu acha KUKURUPUA ili mradi tu uwe wa kwanza kuanzisha uzi
Angalau ungeweka hata screenshot
Uwe unabadilisha chupi, akili inafubaa hiyo mshamba wewe.Yaani mimi nakenue mpaka gego la mwisho halafu nimeweka kijiti natoa vinyama kwenye meno hahahah. Mlishangilia kifo cha Dkt Magufuli hahahah. Tuliwaambia muomboleze maana aliyeondoka ni mmoja tu wengine wapo hahaha
Dah, hii itatuchafua kimataifa nahisiMakamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;