Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Yaani sera za vyama zitamke wazi kupunguza kwa kiasi bainishwa posho na maslahi ya ngazi zoote za kisiasa. Usiri Siri huu ni maumivu kwa nchi yetu. We need pure reforms in this country indeed."Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
Mnafiki tu huyu.Angelalamika kwamba posho ni kubwa ipunguzwe akiwa mjengoni angekuwa na credibility. Kuwa nje ya mjengo halafu ulalamike ni unafiki tu na hadaa.Ila mbona hajawahi kulalamika hvy chadema wakiwepo bungeni?
Amesema anaumia yeye au walimu?Hiki kijamaa kinaumia sana kunyimwa kisikanyage bungeni
Ukweli ni unyonyaji tupu na dharau kwa wananchiheche ni true leader amewahi kupinga hizo posho yeye akiwa bado mbunge nadhan ilikua 2019.
Alilalamikia sana hiyo tofauti ya mapato hata akiwa bungeni. Ila chama pendwa kiliweka pamba masikioni.Mnafiki tu huyu.Angelalamika kwamba posho ni kubwa ipunguzwe akiwa mjengoni angekuwa na credibility. Kuwa nje ya mjengo halafu ulalamike ni unafiki tu na hadaa.
Ndio maana WABUNGE wako tayari kuwa chawa wa Rais ili warudi bungeni"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
Tuambie value ya wabunge hawa wagonga meza na kusinzia? wana utalaam gani kumzidi mwalimu aliyesoma na sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika basi lakini dereva anayemwendesha lazima awe na cheti cha F4?Mliambiwa hawa ni wanaharakasti hamuelewi..
Kwenye office , Head of Sales analipwa Mil 18, na dereva analipwa laki 3 , hapo kuna unyonyaji mmoja ampunguzie mwingine?
Nilifikiri kwa mtu mwenye hadhi yake angeongelea Muundo wa Bunge na namna gani wanaweza punguza vikao na safari zisizo na tija yeye analinganisha mishahara?
Duniani kote watu wanalipwa kutokana na Value na Impact anayoweza sababisha kwenye jamii..
Kalangabhao
Sijaelewa unafiki wake uko wapi, kuwasemea walimu au kuvujisha posho za bunge?Mnafiki tu huyu.Angelalamika kwamba posho ni kubwa ipunguzwe akiwa mjengoni angekuwa na credibility. Kuwa nje ya mjengo halafu ulalamike ni unafiki tu na hadaa.
Jiulize mtu analipwa 570,000 bunge la budget x siku 90 = 51,300,000 nje na mishahara mitatu 18M x 3 = 54,000,000 jumla 105,300,000 ndani ya miezi 3, hapo ni nje na rushwa + ziara za kamati. Hawa ni wanyonyaji wakubwaNdio maana WABUNGE wako tayari kuwa chawa wa Rais ili warudi bungeni
Ni unafiki kutomjua mnafiki. Jibu swali tokea lini Heche alikataa posho akiwa mbunge.Ni rahisi kusema kwamba kiatu hakibani kikiwa kwenye mguu wa mwingine.Sijaelewa unafiki wake uko wapi, kuwasemea walimu au kuvujisha posho za bunge?