Mimi hapa napata wasiwasi! Kumbe hata yeye aliwahi kulipwa hizo posho lakini hakuzikataa na wala hakuwahi kuongea haya wakati huo! Sasa ndio kukumbuka au kuna nini nyuma ya pazia?Ukisikia hazina za taifa ,, ndiyo watu kama hawa ,, mimi sina cha kuongezea zaidi ya kumuombea kwa mungu amzidishie rehema na baraka tele katika kizazi chake chote kwa kuwa muwazi,,, kwakuwa mtu asiyepindisha pindisha mambo