Pre GE2025 Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4!

Pre GE2025 Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbaya zaidi kuna wajinga wanafikiria kuongeza majimbo

Naamin pale bungeni hata tukiweka mshahara wa laki 5 au mil 1 kwa mwezi bado tutapata watu sahihi wa kuisimamia nchi
 
Unapoleta hoja ya watu kulipwa vizuri at least ulete na suluhisho la mapato yatakayowezesha wote walipwe vizuri.Sidhani kwamba inaamuliwa tu kwamba watu wote wasilipwe vizuri bali kuna kuwa hakuna uwezekano wa kufanya hivyo.
Kulinganisha kundi dogo sana la wabunge na kundi kubwa la waalimu ni misleading ingawa sikubaliani na wabunge kulipwa posho huku wana mishahara kwa standard ya Tanzania ni mikubwa.
Kunapokuwa na tatizo basi lete solution kwa kuelezea vyanzo vya mapato vitavyowezesha wote walipwe vizuri.
Umemsikiliza interview yake yote boss? Maana naona kama hujamsikiliza.
 
Nimemwelewa sana
Fact tupu japo wengi watapinga .

Kulipwa mm kikibwa isiwe nipunguziwe ili wengine nao walipwe hayo ni mawazo ya kimasikini. Ila hao nao wapandishiwe japo tufanane fanane

Kumshusha mtu ili mfanane si maisha
 
Aise! 4k/dm?🤔🤔 Harafu ni wakati ule! Leo sijui ni ngapi?
 
Mliambiwa hawa ni wanaharakasti hamuelewi..

Kwenye office , Head of Sales analipwa Mil 18, na dereva analipwa laki 3 , hapo kuna unyonyaji mmoja ampunguzie mwingine?

Nilifikiri kwa mtu mwenye hadhi yake angeongelea Muundo wa Bunge na namna gani wanaweza punguza vikao na safari zisizo na tija yeye analinganisha mishahara?

Duniani kote watu wanalipwa kutokana na Value na Impact anayoweza sababisha kwenye jamii..
Jitahidi kutumia ubongo wako vizur.je kaongea ukweli au ni uongo??kunufaika kwake na fedha za mazombii hakuwezi kuondoa ukweli aliousema tumia akili kidogo ondoa adui ujinga.
 
Ukisikia hazina za taifa ,, ndiyo watu kama hawa ,, mimi sina cha kuongezea zaidi ya kumuombea kwa mungu amzidishie rehema na baraka tele katika kizazi chake chote kwa kuwa muwazi,,, kwakuwa mtu asiyepindisha pindisha mambo
Maisha yanaenda kasi sana! nakumbuka mwaka flani ktk chuo kikuu flani ndugu Heche na Ndugu Mnyeti ndio waliokuwa vinara wa kuongea pumba na mizaha mbele ya classmates, Mnyeti akiwa CR wa darasa, leo tunajivunia kuona Heche amekuwa msemaji wa wasio na sauti ktk nchi..HAKIKA MUNGU NI MKUU SANA!
 
Back
Top Bottom