Mimi hapa napata wasiwasi! Kumbe hata yeye aliwahi kulipwa hizo posho lakini hakuzikataa na wala hakuwahi kuongea haya wakati huo! Sasa ndio kukumbuka au kuna nini nyuma ya pazia?Ukisikia hazina za taifa ,, ndiyo watu kama hawa ,, mimi sina cha kuongezea zaidi ya kumuombea kwa mungu amzidishie rehema na baraka tele katika kizazi chake chote kwa kuwa muwazi,,, kwakuwa mtu asiyepindisha pindisha mambo
We nae ni mpumbavu kabisa!!, Hebu tutajie impact ya wabunge wa ccm kulipwa pesa hizo?Mliambiwa hawa ni wanaharakasti hamuelewi..
Kwenye office , Head of Sales analipwa Mil 18, na dereva analipwa laki 3 , hapo kuna unyonyaji mmoja ampunguzie mwingine?
Nilifikiri kwa mtu mwenye hadhi yake angeongelea Muundo wa Bunge na namna gani wanaweza punguza vikao na safari zisizo na tija yeye analinganisha mishahara?
Duniani kote watu wanalipwa kutokana na Value na Impact anayoweza sababisha kwenye jamii..
Kalangabhao
Punguza kutoelewa mambo!!, Amekwambia akiukata ndio utashuka?, Wabunge wa ccm wapo wangapi bungeni waliikubali hoja yake?.Mimi hapa napata wasiwasi! Kumbe hata yeye aliwahi kulipwa hizo posho lakini hakuzikataa na wala hakuwahi kuongea haya wakati huo! Sasa ndio kukumbuka au kuna nini nyuma ya pazia?
Hata kama wabunge wa CCM wasingemuunga mkono, basi angalau angesema hiyo hoja wakati huo!Punguza kutoelewa mambo!!, Amekwambia akiukata ndio utashuka?, Wabunge wa ccm wapo wangapi bungeni waliikubali hoja yake?.
Hujui kitu tafuta video zake mtandaoni, zipo zimejaa akiongelea swala HILI.Hata kama wabunge wa CCM wasingemuunga mkono, basi angalau angesema hiyo hoja wakati huo!
Sasa upumbavu wangu ni kitu gani?We nae ni mpumbavu kabisa!!, Hebu tutajie impact ya wabunge wa ccm kulipwa pesa hizo?
Embu twende taratibu,Jitahidi kutumia ubongo wako vizur.je kaongea ukweli au ni uongo??kunufaika kwake na fedha za mazombii hakuwezi kuondoa ukweli aliousema tumia akili kidogo ondoa adui ujinga.