SawaCHADEMA wakusanya Sh120 milioni kwa siku tano-
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameyasema hayo leo alipozungumza na wazee wa Mkoa wa Mara leo Julai 17.
Lucas Mwashambwa na machoko wenzake roho zinawauma kweli kweli
CHADEMA wakusanya Sh120 milioni kwa siku tano-
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameyasema hayo leo alipozungumza na wazee wa Mkoa wa Mara leo Julai 17.
Ingekuwa zama za Dj angedai hiyo ni hela yake amekopesha chama kwa hiyo wakipata ruzuku itabidi chama kimrudishie helza zake, Dj alikuwa ndie mnufaika wa chama huku akipiga porojo za chama hakina hela, mangi yule alikuwa mjanja sana.
CHADEMA wakusanya Sh120 milioni kwa siku tano-
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameyasema hayo leo alipozungumza na wazee wa Mkoa wa Mara leo Julai 17.
Tlaatlaah ChoiceVariable kavulata MamaSamia2025Lucas Mwashambwa na machoko wenzake roho zinawauma kweli kweli