Heche: Tumekusanya Sh milioni 120 kwa siku tano

Tuendelee kuchanga na tuwahimize wananchi wazidi kuchanga, milioni 300 sio ya kuchangwa wiki kwa idadi ya wafuasi wa chadema.

Ni pesa ya siku mbili na mwisho Tano, chadema waendelee kuhamasisha watu wachangie.

Mwisho wa siku chadema unapaswa kuanzisha utaratibu wa kusajili upya wanachama hai ambao watakuwa wanalipia ada za uanachama,hivyo chama kuwa na mapato mengi
 

CHADEMA wakusanya Sh120 milioni kwa siku tano-

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameyasema hayo leo alipozungumza na wazee wa Mkoa wa Mara leo Julai 17.
Ingekuwa zama za Dj angedai hiyo ni hela yake amekopesha chama kwa hiyo wakipata ruzuku itabidi chama kimrudishie helza zake, Dj alikuwa ndie mnufaika wa chama huku akipiga porojo za chama hakina hela, mangi yule alikuwa mjanja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…