Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu.
Ameyasema hayo leo Julai 21 katika kipindi cha Wake Up Call cha Upendo Media, zikiwa zimepita siku nne tangu Mbowe alipojitokeza katika uzinduzi wa Dira Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3412968
huyu sio muasisi ila alitaka kuwa mwenyekiti wa kudumu mpaka alipositaafishwa na kuwa mtu aliyehudumu kama mwenyekiti kwa muda mrefu zaidiMuasisi?
Wale chawa kuna mtu aliwatoa? Kupitia kikao kipi? Hata kama naishi kijijini lakini I think hapa umewasingizia viongozi wa CDM bwana Dr wa manesi, mimi kama nakumbuka vizuri, chawa ndio walijiondoa wenyewe baada ya kuona HAKUTAKUA na fursa za kugombea nafasi za kiuongozi. Correct me if I'm wrongJamaa yupo kimya lakini hizi mbunye haziishi kumtaja. Ameharibu Chama chenu, kama mnavyosema, hayupo katika mipango yenu Wala Hana uwezo wa kuiharibu kwani mnasema chawa wake wote mmewatoa, Sasa mnamfuatilia nini?!!!!!!
Wala sio dhambi kuutafuta uongozi kwani binadamu kiasili amezaliwa kuongoza (khalifa). Ukijiona una kipawa hicho basi kifukuzie nami utakuwa na kura yangu. Kama huna basi tulia uendelee kupigwa tone tone watu wakahudumie Malaya ubelgiji huko🙁🙁🙁Wale chawa kuna mtu aliwatoa? Kupitia kikao kipi? Hata kama naishi kijijini lakini I think hapa umewasingizia viongozi wa CDM bwana Dr wa manesi, mimi kama nakumbuka vizuri, chawa ndio walijiondoa wenyewe baada ya kuona HAKUTAKUA na fursa za kugombea nafasi za kiuongozi. Correct me if I'm wrong
Hakuna hoja hapo mkuu, siasa ni vita, kama hutaki kusemwa Wala kutukanwa nenda nyumbani kalale usigombee vyeo vya kisiasa1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
OK, AMA SIASA NI VITA, MTUKANE SAMIA UONE CHA MOTOHakuna hoja hapo mkuu, siasa ni vita, kama hutaki kusemwa Wala kutukanwa nenda nyumbani kalale usigombee vyeo vya kisiasa
So umebadiri topic, right? Pale ju ulisema kwamba "wamewatoa" na mimi nilitaka ku put record clearly kwamba hakuna aliyewatoa, walitoka wenyewe. So usisingiziwe uongozi mpya for their departure, BTW uongozi mpya unafanyia kazi vision na mipingo ya uongozi uliopita; walitakiwa kupongezwa uongozi mpya kwa kua na consistency badala ya kila kiongozi kuja na mambo yake mapyaWala sio dhambi kuutafuta uongozi kwani binadamu kiasili amezaliwa kuongoza (khalifa). Ukijiona una kipawa hicho basi kifukuzie nami utakuwa na kura yangu. Kama huna basi tulia uendelee kupigwa tone tone watu wakahudumie Malaya ubelgiji huko🙁🙁🙁
Nonsense 🚮🚮🚮1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Kipindi hicho na yeye alikuwa kimya pia?1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Unazusha tu, hakuna matus yoyote aliotukanwa. Nyie na akima Yeriko wenu ndio mlikua watukanaji.1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Mpuuze tu huyu Retired , hanaga hoja when it comes to Mbowe akitajwa. It seema mpaka leo anaumia Mbowe kuenguliwa kwenye ile nafasiSijawahi kuona hoja ya kijinga eti "mwanasiasa yuko kimya kwa sababu ya kutukanwa"- kuna matusi makubwa zaidi ya kuitwa gaidi?, mbona waliomfungulia kesi ya ugaidi anakula na kunywa nao kwa tabasamu?.
Kati ya Lissu na Samia nani alimuita Mbowe Gaidi?
1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Watanzania tumezidi unafiki. Yaani huyo mtu ameumia kwa kutukanwa kwenye kampeini za uchaguzi hadi kususa. Yeye katika harakati zake amechafua wangapi, ni wangapi wamemwaga damu katika harakati alizoanzisha yeye. Huyo mtu wenu hawezi pona kirahisi, kaharibu maisha na amemwaga damu za watu wengi kuipitia harakati zake uchwara.P1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!