GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Heche haishi kupoteza opportunity. Hapa angesema tu kuwa chama kinamheshimu ( sio kinaheshimu uamuzi wake wa kukaa kimya) hivyo wanaomkosoa wafanye hivyo kwa staha bila kumvunjia heshima.

Mbowe hastahili heshima kwa sababu tu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema bali pia kwa mchango wake mkubwa kwa chama chake.
Alichokifanya Heche ni kubariki kejeli na character assassination ziendelee kwa kisingizio kuwa ni haki ya wanachama kukosoa viongozi na wanachama wengine.

Huo ni.unafik.

Amandla...

Kuhusu Mbowe it is what it is.

Watanzania sio Wajinga broo, Na mwishowe ukweli utajidhihirisha tu.
 
Heche haishi kupoteza opportunity. Hapa angesema tu kuwa chama kinamheshimu ( sio kinaheshimu uamuzi wake wa kukaa kimya) hivyo wanaomkosoa wafanye hivyo kwa staha bila kumvunjia heshima.

Mbowe hastahili heshima kwa sababu tu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema bali pia kwa mchango wake mkubwa kwa chama chake.
Alichokifanya Heche ni kubariki kejeli na character assassination ziendelee kwa kisingizio kuwa ni haki ya wanachama kukosoa viongozi na wanachama wengine.

Huo ni.unafik.

Amandla...
Mchango gani, wakati Mbowe alikuwa anafanya biashara na mpaka sasa nafanya biashara na CCM.

Watu siyo wajinga.

Kwa nini anashangaa? Si angemuuliza kulikoni wakati wa vikao vya Kamati Kuu? Au angempigia simu? Au angemfuata ili ajue kulikoni. Hafanyi hivyo kwa sababu jibu a alijua.
Amandla...
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu.

Ameyasema hayo leo Julai 21 katika kipindi cha Wake Up Call cha Upendo Media, zikiwa zimepita siku nne tangu Mbowe alipojitokeza katika uzinduzi wa Dira Samia Suluhu Hassan.

View attachment 3412968
Mbowe Hana Akili TIMAMU achaneni nae.
 
Wanataka hela za Mbowe, chama kimefulia, walitukana mamba mb. Waaa hawa
 
Back
Top Bottom