Mbowe ni mwizi ni Dalali wa Siasa hasitahili heshima yeyoteHata Mbowe a aheshimu uamuzi wenu wa kupiga kelele.
Mbowe ni mwizi ni Dalali wa Siasa hasitahili heshima yeyoteHata Mbowe a aheshimu uamuzi wenu wa kupiga kelele.
Ndiyo huyo sasa katulia zake nyumbani amelala, nyie hao hao ndo mnapiga kelele za kumwamusha ili iweje? Mwacheni apumzike, nyie endeleeni na porojo za chama mkiwa na Mr dishi limeyumba.Hakuna hoja hapo mkuu, siasa ni vita, kama hutaki kusemwa Wala kutukanwa nenda nyumbani kalale usigombee vyeo vya kisiasa
Ndio, ulitaka amwambie arudi ofisini? Alimwambia kwa maana sahihi.Na ile siku ya mkutano mkuu Baada ya Lissu kupewa nafasi azungumze alimwambia dhahiri kuwa sasa akapumzike!
Wewe ndiyo Dishi lako linayumba, Mbowe katulia wapi huko? Mbowe hajatulia popote kutwa yupo na ccm akiwauzia wanachama wa chadema wanawasokomeza chauma ubwabwa, Mbowe ni mwizi wa pesa za walipa kodi kwa kufanya biashara haramu ya binadamu kwenda chauma ubwabwa chama chawaccm, Mbowe siyo malaika ni mtu wa hovyo ujue Heche kampiga Dongo kisomi tu baada ya kugundua njama zake za kuidhoofisha chademaNdiyo huyo sasa katulia zake nyumbani amelala, nyie hao hao ndo mnapiga kelele za kumwamusha ili iweje? Mwacheni apumzike, nyie endeleeni na porojo za chama mkiwa na Mr dishi limeyumba.
Mnataka asemeseme ili baadae mmlaumu kuwa anawavurugia chama ?!
Kwahiyo unaachana kabisa na watu waliokwambia unakula rushwa ya Abdul (ambao hata wewe umewatukana) ila unaendelea kukaa meza moja na waliokuita gaidi na kukuweka gerezani zaidi ya nusu mwaka?1. Missile nilimblock, moja hiyo! Nilkuwa namchukuliaa kama mtu wa kujenga hoja, kumbe rubbish!
2. Sina unasaba wowote na Mbowe, nasimami kitu ambacho nami ungelinifanyia tunaachana kabisa! Mfano ni hapa huyo Misile. I blocked him maana nilimuona he is nonsense! Ukutanguliza matusi badala ya kujibu hoja sina sababu ya kusoma post zako.
Lisu anawajua wapinzani makanjanja wanafiki wazinzi kama Salum mwalimu, walevi wezi kama mrema, washirikina wafitini waongo kama kigaila na wote wenye mambo ya hovyo wasio wapinzani wa kweli ambao kwa 100% ni chawa Mbowe, Baada ya kujichuja chadema imesalia kuwa na wapinzani wa kweli ndipo ccm na mbowe kula njama Lisu apelekwe jela na mbowe apate mwanya wa kuihujumu kuidhoofisha chadema sasa , Mbowe hayupo kimya yupo anaombea Lisu afie Gerezani arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumbawalimbagaza wapi,Kosa la lussu ni lii au kule kusema atafanya mabadiliko ya sheria ili ubunge viti maalumu na udiwani maalum viwe na ukomo???au kusa lake kutowateua akina mwalimu kuwa manaibu wa katibu mkuu ndo kosa la lissu,hebu dadavua tukuelewe pengine me uelewa wangu uko chini
Kwenye ile kesi yake ya ugaidi ambayo alipakaziwa na kuibuka kwa neno "mchongo" yaani mashahidi wa mchongo, kesi ya mchongo na jaji ni wa mchongo; tuliweza pia kujua kwamba kuna komandoo mmoja aliuawa na wale morani wa police...., kweli yote haya Mbowe haoni uchungu nayo lakini anaona uchungu kwa maneno ya kwenye kampeni? Halafu ndio akawe rafiki wa wale wale waliosababisha yote haya? Is very interestingVIJEMBE VIDOGO VIDOGO MTU ANAKWAMBIA UMAZINI NA MAMA YAKO USEME NI VIJEMBE VIDOGO? kWAMBA WEWE UNAKULA RUSHWA YA ABDUL USEME NI VIJEMBE VIDOGO?
KAMPENI NDANI YA CHAMA LAKINI ZINASAMBAA DUNIA NZIMA? WATU WANAKUONA HOPELESS USEME NI VIDOGO VIDOGO?
KWA VILE HUJATENDEWA UNAYAONA MEPESI
He deserved it! Kwa nn alikuwa anafanya campaign ya kumuengua lisu kwenye umakamu?1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Umeandika Ukweli mtupu1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Umeandika hapa kama vile Mbowe ni mungu, yaani anatakiwa vibayaa sana.1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Samia, anaua.OK, AMA SIASA NI VITA, MTUKANE SAMIA UONE CHA MOTO
Njaaaaaa itakuuuuuuaaaTurudi nyuma! Niwekee clip a Mbowe akimtukana/kumdhihaki etc Lisu.
Nilishasema kuwa Lisu was my best politician in all aspects of politics, thinking capacity, and the like. Tatizo lake hana kaba ya ulimi! Unaangalia kuwa hili nikilisema litaleta shida pampja na kuwa ni haki yako kulisema. Unajiuliza nalisemea wapi? muda gani? kwa nani? huyo yukoje?
All in all, huyu si katoka muacheni aende zake...........jenga chama chenu/chetu na maisha yaendelee.
Mimi nina kadi ya chadema muumini mzuri may be wengine hapa hamjazaliwa.....
ngoja nitafute neno nitakujibuNjaaaaaa itakuuuuuuaaa
mambo ya kuzini na mama yanatokea wapi wewe mstaafu? kwani mko hivyo watu wa rangi nyeusi!
khs pesa za Abduli ilikuwa ni kweli kabisa. Shahidi Wenje
Utakufa nacho kijiba cha roho!Ndio, ulitaka amwambie arudi ofisini? Alimwambia kwa maana sahihi.