The best_of _me
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 560
- 979
Elewa contextkwani saiv watu Hawafi?
Elewa contextkwani saiv watu Hawafi?
fine! Vijembe vinaruhusiwa sana kwenye kampeni, lkn Lisu et al walizidi threshold ya vijembe! siyo hivyo.ambo ambalo kwenye siasa kutuhumiana na kukashifiana ni jambo la kawaida, ndio maana tunaambiwa mwanasiasa unatakiwa uwe na ngozi ngumu.
1. Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa Chama kwa hiyo aliwajibika kwa wagombea wote wakati anaendelea kukiongoza chama chake. Chopa ilimwezesha kufanya hivyo.hebu tutolee upuuzi wako hapa bhana, mbowe ni mtu hovyo tangu zamani sema mlikuwa hamjamjua tuu.
nikupe mfano mmoja tuu kwenye ziara na movement zote za chama lissu akiwa mgombea urais wa mwaka 2020 lakini mbowe qlikuwa radhi atembee yeye na helkopta ila lissu atembee na gari lake. hivi katika hali kawaida lissu na ulemavu aliopewa na wauaji wale jamaa na mbowe nani alipaswa atembee na chopa??
Tukubaliane kitu kimoja, character assassination si matusi.fine! Vijembe vinaruhusiwa sana kwenye kampeni, lkn Lisu et al walizidi threshold ya vijembe! siyo hivyo.
Kashifa hapana, ndiyo maana Mbowe alimshitaki Msigwa kuwa amesema pesa za michango zilikuwa zinakwenda direct kwenye akaunti yake Nairobi. Hicho siyo kijembe! Unauambia ulimwengu kuwa hili jitu ni jzi! Na mwizi ni sumu dunani, unaua credibility ya mtu!
Kuna kesi iliamuliwa hapa na ikaweka misingi ya maneno ua vijembe kwenye kampeni. Si character assassinations!
Character assassination in a political campaign involves attacking an opponent's reputation through negative campaigning, spreading rumors, or using other tactics to damage their public image. This can include public criticism, personal attacks, or attempts to discredit an individual's integrity or competence. Such tactics are often employed to undermine an opponent's credibility and make them appear unfit for office.
Yamekwisha na yamepita. Tusonge mbele. Vikombe na sahani kwenye kabati vinagongana na kuvunjika.1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Very true!!!1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Rubbish.1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
Heche haishi kupoteza opportunity. Hapa angesema tu kuwa chama kinamheshimu ( sio kinaheshimu uamuzi wake wa kukaa kimya) hivyo wanaomkosoa wafanye hivyo kwa staha bila kumvunjia heshima.fine! Vijembe vinaruhusiwa sana kwenye kampeni, lkn Lisu et al walizidi threshold ya vijembe! siyo hivyo.
Kashifa hapana, ndiyo maana Mbowe alimshitaki Msigwa kuwa amesema pesa za michango zilikuwa zinakwenda direct kwenye akaunti yake Nairobi. Hicho siyo kijembe! Unauambia ulimwengu kuwa hili jitu ni jzi! Na mwizi ni sumu dunani, unaua credibility ya mtu!
Kuna kesi iliamuliwa hapa na ikaweka misingi ya maneno ua vijembe kwenye kampeni. Si character assassinations!
Character assassination in a political campaign involves attacking an opponent's reputation through negative campaigning, spreading rumors, or using other tactics to damage their public image. This can include public criticism, personal attacks, or attempts to discredit an individual's integrity or competence. Such tactics are often employed to undermine an opponent's credibility and make them appear unfit for office.
sizungumziii kipindi cha kampeni nazungumzia baada ya kampeni 2020, kwenye movement mbalimbali za chama.1. Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa Chama kwa hiyo aliwajibika kwa wagombea wote wakati anaendelea kukiongoza chama chake. Chopa ilimwezesha kufanya hivyo.
2. Mgombea wa urais kutumia gari kunampa ukaribu zaidi kwa wapiga kura wake kwa sababu anaweza kuwafikia hata bila kutarajia. Ni rahisi zaidi kumsimamisha mtu anayeenda na kumuomba awasalimie kuliko aliyekuwa kwenye. Magufuli alifanya hivyo 2015 na aliweza kujiuza zaidi kuliko Lowassa aliyekuwa anapita angani kwenye chopa.
Hilo hamuwezi kuliona.
Amandla....
Kaulizwa swali na Mwandishi angekaa kimya?Jamaa yupo kimya lakini hizi mbunye haziishi kumtaja. Ameharibu Chama chenu, kama mnavyosema, hayupo katika mipango yenu Wala Hana uwezo wa kuiharibu kwani mnasema chawa wake wote mmewatoa, Sasa mnamfuatilia nini?!!!!!!
Hakuna mtu alishangaa CCM kufanya waliyomfanyia Mbowe kwa sababu kuna wanaomuona kama adui anayetaka kuwamaliza. NdioRubbish.
Kwamba akaweza kuwasamehe CCM walio mfunga kwa igaidi??
Jibu ni lile lile.sizungumziii kipindi cha kampeni nazungumzia baada ya kampeni 2020, kwenye movement mbalimbali za chama.
RubbishhhHakuna mtu alishangaa CCM kufanya waliyomfanyia Mbowe kwa sababu kuna wanaomuona kama adui anayetaka kuwamaliza. Ndio
Usaliti wa wakina Heche unauma zaidi kwa sababu hawa walichukuliwa kama ndugu zake katika mapambano ya kudai haki.
CCM ikisema Mbowe ni gaidi wengi tutajua kuwa ni propaganda za kisiasa na kuzipuuzia. Lakini Makamu Mwenyekiti wake aki hint kuwa Mbowe amelambishwa asali alipotoka rumande, wengi watamuamini. Ndio maana ni vigumu sana kwa FAM kumsamehe TAL kama alivyo msamehe SSH.
Amandla...
Mbowe ameumiza watu wengi sana ndani ya chama, kupambana na Mbowe ni either umshinde au ukimbie chama. Na ili umshinde, lazima umkatili na kumjeruhi sana Mbowe maana alikuwa ameota mizizi ndani ya chama. Unapomshinda Sasa unaanza kuponya majeraha na kumdisolve ndani ya chama. Kama majeraha ya Mbowe hayajapona tangu January 2025 mpaka Sasa July, basi huyo Mbowe hakuwa na nia ya dhati ya kusimamia chama kufikia malengo. Kinachofuata Sasa ni kuheshimu tu uamuzi wake. Au KUMPUUZA TU!1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!
But to mention a few ...... nisaidie hapo!Mbowe ameumiza watu wengi sana ndani ya chama,
Kwa sasa hivi amekuwa bora sana Kwa CCM .Jamaa yupo kimya lakini hizi mbunye haziishi kumtaja. Ameharibu Chama chenu, kama mnavyosema, hayupo katika mipango yenu Wala Hana uwezo wa kuiharibu kwani mnasema chawa wake wote mmewatoa, Sasa mnamfuatilia nini?!!!!!!