walimbagaza wapi,Kosa la lussu ni lii au kule kusema atafanya mabadiliko ya sheria ili ubunge viti maalumu na udiwani maalum viwe na ukomo???au kusa lake kutowateua akina mwalimu kuwa manaibu wa katibu mkuu ndo kosa la lissu,hebu dadavua tukuelewe pengine me uelewa wangu uko chini1. Mr. Heche kuna kitu kikubwa mlikikosea kwenye kampeni zenu. Mlimtukana, mkampakazia vitu havina ushahidi, mkamdhihaki, mkambagaza to the extreme! as if hamtakuja kukaa naye tena. Kwa matusi yale na mimi ningelijitenga nanyi, a sensible man will need time to heal!!
2. It was a campaign of character assassination of the highest degree on earth, not expected from civilised people like you/colleagues in the same party.
3. Let him time to heal!