Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.