Watu wengi, including wewe, wana misconception ya ubora wa katiba. Wanadhani katiba nzuri by itself inatosha. Ukweli ni kwamba, no constitution or law is good enough to defend itself. Uadilifu wa Rais ni kitu kimoja muhimu sana. Mkipata Rais mhuni, kila kitu kitakwenda mrama. Katiba na sheria zitavunjwa left and right. Yaliyotokea Marekani January 6, 2021 na yanayoendelea kutokea sasa chini ya Rais Trump is a case in point!
Usitumie ubovu wa Katiba yetu kama kichaka. Ingawa Katiba yetu ina mapungufu, haina Ibara yoyote inayohalalisha abductions, torture and/or extrajudicial killings by security forces au inayowanyima raia freedom of speech au haki ya kuandamana/kukusanyika. Kama wewe unajua kuna Ibara ya aina hiyo, basi tuambie na sisi tuijue!