Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Hivi ndugu narogo hujuwi kuwa serekali ya CCM ikisema kuna ugaidi walengwa ni Chadema?. Kupitia tamko hilo la ugaidi, tambuwa kuna wanachadema watakaotekwa na kuuwawa, kuna yatima wajane na wagane watazalishwa, biashara na shughuli zao halali zinaenda kuvurugwa, kuna watakao bambikiwa kesi za ugaidi huohuo,.....to list few.
Sasa niambie hayo manufaa ya wanachadema kupitia AFCON yafaa nini kwa gharama hiyo ya damu na mali za wanachadema wenzao?.
Mr. narogo hebu tazama mambo haya ktk mawanda mapana.
Binafsi Heche namwelewa, kwani reaction yake juu ya kauli hiyo inamfanya aoneshe kujali uhai wa wafuasi wake badala ya mali zao.
Uhai kwanza Mali baadaye. Tunazungumza juu ya faida na mapato ya AFCON kwasababu tupo hai.
Ahsante nimekuelewa
 
MBONA kesi za UGAIDI Tanzania ni jambo la kawaida tu .

KIBITI wameuliwa magaidi Mashekh wameshawekwa ndani kwa tuhuma za UGAIDI sasa Leo ionekane ni ajabu au kwasababu HAO MAGAIDI waliokamatwa ni watu wenu....?

YEYOTE ANAWEZA KUWA Gaidi GAIDI HANA SURA awe mrembo mgumu au mlaini. HECHE tulia vyombo vya Usalama ndio vinajua nani anaviashiria vya UGAIDI wewe Heche hujui chochote.
 
Wewe hutumii akili yako kufikiri vizuri na kuielewa ujumbe wa John Heche na CHADEMA...

Na pengine hata hujui hata maana ya UGAIDI na athari zake...!!

Kumbuka UGAIDI ni INTERNATIONAL CRIME ambapo mara serikali fulani itangazapo kuwa kuna UGAIDI ndani nchi, haraka sana mataifa mengine yaliyowahi kuonja adha na madhara ya ugaidi hususani Marekani, Uingereza, Ufaransa na mengine hukaribia kuja kusaidia nchi husika kwa resources zote zinazotakiwa kwa sbb dunia inaamini kuwa UGAIDI kwa taifa Moja ni ugaidi kwa dunia nzima....

Kitendo cha serikali yako hii ya kijinga na haramu kutangaza kuwa Kuna UGAIDI, ni alert kwa mataifa mengine kuwa Tanzania sio salama. Si salama kwa watalii, kwa mikusanyiko ya michezo ya kimataifa kama AFCON nk...

Sasa kwanini nchi zingine zihatarishe usalama wa maisha ya watu wake kwa kuruhusu kwenda kwenye michezo ktk nchi ambayo ina MAGAIDI na UGAIDI kama Tanzania...??

Hili hajatangaza John Heche. Ni Samia Suluhu Hassan mwenyewe na genge lake la kihuni. Actually, alichofanya John Heche ni kuwarudisha kwenye mstari kwa kuwaambia CCM na serikali yao ya kishenzi kuwa mmejichanganya, mnajivua nguo wenyewe na mmebaki uchi, mna tarnish image ya nchi na taifa letu kimataifa kwa kutangaza kuwa tuna ugaidi wakati ni siasa zao tu za majitaka...!!

Hata hao vijana wa Arusha unaowaonea huruma si nao wako kwenye hatari ya kupigwa mabomu na kuuwawa na UGAIDI na MAGAIDI wa CCM na serikali yao..?

Ndio maana hujashika kwa kuwa wewe ni kweli "msenge" na unaweza wasengea watu wengine. Na nakutangazia kuwa hutashika madaraka yoyote yahusuyo kulinda utu na maisha ya watu wengine kwa kuwa huna sifa hizo na hufai kwa lolote...

Hata ukulima wa hizo mbaazi umependelewa sana. Ulipaswa kuwa mzibua vyoo nyumbani kwa Bashite au kwa afande muuaji Mafwele au muliro maisha yako yote...!!
Alianza Mkapa kutangaza kuwepo ugaidi nchi hii akatunga na sheria.
Baada ya hapo marais waliofuatia wote waliweka ndani waliowatuhumu kwa ugaidi kama afanyavyo leo Samia. Hajaanza Samia kutangaza kuwa nchi hii ina ugaidi. Sasa kwa nini hayo mataifa hayakutuchukulia hatua ulizozitaja wakt nchi ilishatangazwa kuwa ina ugaidi tokea enzi ya Mkapa?
 
Nakusisitiza tena uwe unafanya utafiti, bahati nzuri mitandao inatunza kumbukumbu. Hata dk 20 tu zinatosha kujua Chadema walisema nini kuhusu hao mashekhe
Hawakuwahi kusema nchi hii itengwe kisa tu Mashekh wameshikiliwa. Wewe mwenye akili sana tuwekee hapa
 
MBONA kesi za UGAIDI Tanzania ni jambo la kawaida tu .

KIBITI wameuliwa magaidi Mashekh wameshawekwa ndani kwa tuhuma za UGAIDI sasa Leo ionekane ni ajabu au kwasababu HAO MAGAIDI waliokamatwa ni watu wenu....?

YEYOTE ANAWEZA KUWA Gaidi GAIDI HANA SURA awe mrembo mgumu au mlaini. HECHE tulia vyombo vya Usalama ndio vinajua nani anaviashiria vya UGAIDI wewe Heche hujui chochote.
Itoshe tu kusema kuwa ugaidi unaosemwa walengwa ni Chadema na utawagharimu damu na mali pamoja na uhuru.
"Mbowe ana records za ugaidi "
 
Shida ya taifa letu ni katiba tuliyonayo inatoa madaraka kupitiliza na aijaweka utaratibu wa udhibiti pia, binafsi napendekeza Rasimu inayopatikana kwenye www.katibampya.com
 
Wewe chawa vipi, kwani Heche ndiye aliyetangaza kwamba Tanzania kuna ugaidi. Afadhali kuwa mjinga mzungu wa reli kuliko kuwa Chawa wa mama.
acha makasariko. Mimi sio chawa kama wewe unayemshabikia Heche.CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge.
 
Sasa nanyie CHADEMA tuwaeleje? Mnasema hamuitambui serikali iliyojipachika madaraka halafu leo hii unaungana nayo kwenye tamko la uwepo wa Magaidi, kwahiyo mnakubali kuwa magaidi wapo ?Je, wale wenzenu waliofunguliwa kesi ya ugaidi huoni barua yenu inawahukumu? CCM na CHADEMA kaeni meza moja muyajenge.
CCM waliambiwa wakae chini na wenzao kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 wakashupaza shingo na kuishia kuua maelfu ya Watanzania. Sasa unataka CHADEMA wakae chini na wauaji ili iweje?
 
CCM waliambiwa wakae chini na wenzao kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 wakashupaza shingo na kuishia kuua maelfu ya Watanzania. Sasa unataka CHADEMA wakae chini na wauaji ili iweje?
udhani CHADEMA Wao sio Wauwaji? wauwaji ni wote CCM na CDM Siwezi kusema TLP wala NCCR Mageuzi n,k. Kaeni mezani muyajenge kabla ya KATIBA MPYA.
 
Ugaidi na uhaini ni vitu viwili tofauti kaka!!
Kwamba unajitoa akili kuwa Yule jamaa wa UDOM na wale vijana wa Mwanza hawajakamatwa kwankosa la ugaidi?

Ebu tumia basi hiko.kichwa kufikiria bro ili ufuche aibu ndogo ndogo kama hizi mbele ya jamii.
 
Haya maneno angetamka wakati wa Magufuli tayari mpaka sasa watu online wangekuwa wanaandiia #FreeHeche.
Rais Samia kwanini umewapa kupumua hawa Matahira?
 
CAF wameshakunja 82 billion kutoka Tz kama ada ya uenyeji ni ngumu kutema hilo bungo kirahisi ukizingatia Motsepe alidai nchi zimekuwa reluctant kuwa wenyeji wa michuano ya CAF isipokuwa Morocco.
 
Wamemuua nani? Mwenye jukumu la kulinda raia na mali zao ameshindwa kumzuia muuaji asiue?
kama hujaona mauaji ya CHADEMA Basi wewe ni mnufaika.Nakama hujaona mauwaji ya CCM wewe pia ni mnufaika..Unadhani mafahari wawili wakipishana au kugombana ni kinateketea? utasema nyasi zimemalizwa na fahari mmoja? Mimi nasima upande wa nyasi ambao ndio wananchi na pia upande wa zizi ambalo ndio taifa..CCM na CHADEMA kaeni mezani muyamalize.
 
Mtu mwenye jukumu la kulinda raia na mali zao akigeuka kuwa muuaji wa hao raia, bado anastahili kuwa mlinzi wa raia na mali zao?
 
Back
Top Bottom