Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Siku hizi ukikamatwa hata na bangi unapewa kesi ya ugaidi
uhaini sio dili sana nawa deizi hiyo ni ya LISSU tu

Hawa mapimbi wanaruka sarakasi na taulo fupi

Naunga mkono Heche yupo sahihi magaidi yapo mengi nchini!
 
Heche yeye hataki kuona maafa viwanjani wakati wa AFCON maana magaidi hawachelewi kujitoa mhanga kwa mabomu.
Wewe uko tayari kwenda uwanjani huku ukijua kabisa muda wowote magaidi wanaweza kufanya tukio?
Ugaidi wa alishabab ni tofauti na wanaofanya akina tundu lissu!!
 
Inaelekea Hauna Akili timamu wewe unaweza Afcon tu hujui kwamba Serikali kuu inapotamka kwamba Kuna ugaidi Kuna Nchi kibao zitaacha kuleta watu wao Nchini cause Tayari serikali imesha tangaza Hali ya uvunjifu wa usalama

Huoni kuwa Kuna wawekezaji kibao wataondoka Kwa kuogopa tishio la usalama wa mali zao na family zao na hata wale ambao walikuwa wanataka kuja kuwekeza watashindwa kuja cause hakuna ambaye anayetaka kuwekeza billions of money kwenye Nchi ambayo Haina usalama umeshawahi kufikiria hayo hata kidogo !?

Je endapo hao investors wakiondoka na wengine wakishindwa kuja kutokana na taarifa waliyoipata ya uwepo wa magaidi nchini hauoni kwamba Kuna ajira kibao zitatoweka na vijana wengi watarudi mitaani wakiwa hawana ajira !?
CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge mapungufu yenu tunayajua muda utaongea wananchi tukipata KATIBA MPYA.
 
Hadi sasa serikali yetu imara chini ya mtukufu SAMIA imekamata magaidi zaidi ya 50 na wapo magerezani hadi sasa .
MBAYA ZAIDI WANATAKA KUJICHOMA KWA KUJIDHIHIRISHA KWAMBA WAO NI MAGAIDI NA MABEBERU. KITENDO CHA KUANDIKA BARUA HIY6 HALI KESI YA UGAIDI INAWAKABILI. PILI KITENDO CHA KULINDA UHAI WA WAGENI KUTOKA NJE..NANYIE CCM YAKWENU TUNAJUA KAENI MEZA MOJA MUYAJENGE.
 
Vipi kuhusu usalama wa wanamichezo na wageni?maana tayari serikali inatuambia kuna matukio ya ugaidi na magaidi nchini
HAMUONI KAMA MNAMCHOMA MWENYEKITI WENU? HALAFU SERIKALI MNAYOSEMA NI HARAMU NA IMEJIPACHIKA JE IWEJE LEO MKUBALIANE NAYO KIUSALAMA? MNATUCHEZEA AKILI ZETU. CCM na CHADEMA Kaeni mezani muyajenge tulisogeze taifa mbele.
 
HIVI UNAPOANDIKA UPUUZI WA KUWAAMBIA FIFA NA CAF IWAAPO WAKACHULIA SERIOUS HUONI MTAKUWA MMEWANYIMA WANANCHI FULSA YA KIBIASHARA NA HUKU MKIFURAHIA SERIKALI KUKOSA MAPATO? HALAFU MNAJIVIKA KILEMBA CHA UZALENDO NA KUWATUMIKIA WANANCHI?
Unaandika kama umekatwa kichwa kaka, vipi kuhusu familia za watu waliokufa, wanaobambikiwa kesi za ugaidi? Kwanini usifanye vitu fair ili kuleta umoja wa amani.
 
Wewe mbona unajali kipato kuliko usalama wa raia kwanza !? Kwahiyo unataka Afcon ifanyike halafu likitokea la ugaidi watu wakafa hicho kipato kitakuwa na manufaa yapi !?

Mbona umekosa uzalendo na Nchi Yako !? Serikali imeshasema Kuna ugaidi so wewe unayepinga ni nani !?

😁😁😁😁

Heche ashikirie hapo hapo hii kete aliyoisukuma inaitwa king kwenye draft 😁
Hizo kelele za chura tu. Hili litasahaulika very soon
 
Back
Top Bottom