Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Kukiwa na ugaidi ni kitu gani kinachokwenda sawa? Makosa wafanye ccm malalamiko wapewe chadema.
NDO MAANA NASEMA KAMA MMESHINDWA KUKAA MEZANI. KWANINI TUSIVIFUTE HIVYO VYAMA VYENU? KWASABABU MMESHINDWA KUWATUMIKIA WANANCHI BADALA YAKE MNAWAUMIZA KWA MASLAHI YENU BINAFSI YA MADARAKA.
 
KAMA MMEAMUA KUKOMOA KWA MASLAHI YENU. KWANINI TUSIVIFUTE HIVO VYAMA VYENU? AFCON WATU WATAFANYA BIASHARA WATAJIPATIA RIZIKI NA MAMBO KADHA WA KADHA HAMUONI MNAWANYIMA WANANCHI WENU FULSA? KWANI NYIE MPO KWA AJILI YA KINA NANI? UGOMVI WENU HAUPASWI KUATHIRI WANANCHI WENU.
Futa uonje Nguvu ya Umma!
 
Serikali inajichanganya yenyewe,huku inasema Tanzania ni Nchi ya Amani!Wakati huo huo kwenye majiji yake makuu,Dar, Mbeya,Mwanza,Arusha,watu wengi wamefunguliwa kesi za Ugaidi! Inasikitisha sana.
 
NDO MAANA NASEMA KAMA MMESHINDWA KUKAA MEZANI. KWANINI TUSIVIFUTE HIVYO VYAMA VYENU? KWASABABU MMESHINDWA KUWATUMIKIA WANANCHI BADALA YAKE MNAWAUMIZA KWA MASLAHI YENU BINAFSI YA MADARAKA.
Chadema wakae mezani wamekosea wapi wanapohitaji kurekebisha?
Chadema wanapaswa kuwatumikia wananchi ndio wanaokusanya kodi?
Ni lini Chadema walioumiza wananchi?
 
Wanaoweza kuthibitisha ni chadema au ccm wenyewe? ni lini wanachi walisema kuna magaidi.

Ni mtu anachoomba ndicho ananchopewa wacha walinywe kwa vile wamelikoroga.
Sasa kama hawakusema kwanini wengine ambao wapenda michezo wahusishwe?

Hii michuano italeta ulaji na fursa nyingi sana kwa wengine. Hapa sikuharibia watu mambo kisa ubinsfsi wao kisiasa
 
Chadema wakae mezani wamekosea wapi wanapohitaji kurekebisha?
Chadema wanapaswa kuwatumikia wananchi ndio wanaokusanya kodi?
Ni lini Chadema walioumiza wananchi?
HIVI UNAPOANDIKA UPUUZI WA KUWAAMBIA FIFA NA CAF IWAAPO WAKACHULIA SERIOUS HUONI MTAKUWA MMEWANYIMA WANANCHI FULSA YA KIBIASHARA NA HUKU MKIFURAHIA SERIKALI KUKOSA MAPATO? HALAFU MNAJIVIKA KILEMBA CHA UZALENDO NA KUWATUMIKIA WANANCHI?
 
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Ngome ya Chadema ni kwenye mioyo ya Watanganyika wote wanaojitambua.
 
HIVI UNAPOANDIKA UPUUZI WA KUWAAMBIA FIFA NA CAF IWAAPO WAKACHULIA SERIOUS HUONI MTAKUWA MMEWANYIMA WANANCHI FULSA YA KIBIASHARA NA HUKU MKIFURAHIA SERIKALI KUKOSA MAPATO? HALAFU MNAJIVIKA KILEMBA CHA UZALENDO NA KUWATUMIKIA WANANCHI?
Wewe huoni kama serikali imelichukulia serious swala la ugaidi hadi wakaamua kuwasaka magaidi na wamefanikiwa kuwakamata.
Huoni kwamba kufanya hivyo itakuwa kama anaisaidia serikali kuitangazia dunia kwamba Tanzania kuna magaidi hivyo salama kuitembelea ?
Mi binafsi naona ni jambo jema isije ikatokea gaidi mmoja akajilipua uwanjani na watu wakafa bure na wakati viashiria vya ugaidi vyombo vyetu viliviona mapema.
 
Back
Top Bottom