Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.

Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.

It actually makes a lot of sense...

Haieleweki, Samia na wahuni wenzake wanafanya haya mambo kwa manufaa ya nani..?

Bila shaka huku ni kuchanganyikiwa kulikovuka mipaka ya kawaida ya ufahamu...
 
Una uhakila hizp leso zao zimevikoa stste ya kuwa natoon threat?
Unasemaje sijakuelewa?Anyway,ngoja nijibu hivyo hivyo japo sijaelewa umeandika nini?

Kitendo cha kuwafungulia mashitaka watu idadi hii ambayo naona inatajwa hapa na pale ni ushahidi tosha kwamba kama taifa usalama wetu kuna kitu kinapungua.Otherwise labda mashitaka yao yawe ya kutunga.
 
Chadomo mkuwe wazalendo. Sasa ule uwanja wa Arusha tunaoujenga kwa 1trn, tukifungiwa utakuwa na kazi gani?

Hao vijana tuliowapa kesi ya ugaidi ...hakuna cha ugaidi wala nini. Tunataka tu wakae ndani kama miaka minne yaani mpaka sheick Hassina amalize muda wake.
 
Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?

Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Huko kuita mpakavwahadhiri , Magaidi sio mwanzo wa machufuko?
 
24 July 2026​

Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania opposition party to write an official letter to FIFA and CAF to explain that the Government of Tanzania says there is 'Terrorism in Tanzania' and they should not bring people to AFCON 2027​

1784983462230.jpeg
 
Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?

Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Wanaoweza kuthibitisha ni chadema au ccm wenyewe? ni lini wanachi walisema kuna magaidi.

Ni mtu anachoomba ndicho ananchopewa wacha walinywe kwa vile wamelikoroga.
 
Kumbe hata huo ugaidi ni wa kitoto!
KAMA MMEAMUA KUKOMOA KWA MASLAHI YENU. KWANINI TUSIVIFUTE HIVO VYAMA VYENU? AFCON WATU WATAFANYA BIASHARA WATAJIPATIA RIZIKI NA MAMBO KADHA WA KADHA HAMUONI MNAWANYIMA WANANCHI WENU FULSA? KWANI NYIE MPO KWA AJILI YA KINA NANI? UGOMVI WENU HAUPASWI KUATHIRI WANANCHI WENU.
 
Kukiwa na ugaidi ni kitu gani kinachokwenda sawa? Makosa wafanye ccm malalamiko wapewe chadema.
 
Back
Top Bottom