a confuser is confused 🐒Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Ugaidi ni mambo ya kitoto.HECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.
Uko nchi gani kwani mwenzetu?Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Hata mashekh wa Uamsho walishikiliwa miaka nane kwa ugaidi, mbona hamkuomba USA waje?Serikali ya CCM sasa iombe USA waje watusaidie kupambana na Magaidi ambao serikali yenyewe imesema wapo. USA watafanya hivyo kama wanavyowasaidia Somalia na Mali.
Hata AFCON ni hatari sana ikija kuchezwa kwenye nchi ambayo serikali iliyopo madarakani inasema kuna wananchi wake magaidi
24 July 2026Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi
Chama hicho kimesisitiza kuwa hatua yake hiyo si kuichafua nchi, bali ni kuweka wazi ukweli na kuitaka michezo hiyo kutathmini upya usalama wa kuandaa matukio makubwa nchini kukiwa na madai hayo ya ugaidi.
Kumbe mnajua vyema kuwa mnachochea vurugu kwa kuwabambikia kesi za ugaidi watu? Sasa shetani mlomfuga wenyewe kwanini awatishe? Ujinga wenu kumbe unawaogopesha hadi nyie🤣🙆♂️Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Waliosema kuna ugaidi ndio wanatakiwa kupeleka ushahidi mahakamani.Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Sheria ya ugaidi ilitungwa enzi za Mkapa na Watz wengi tu wamesota rumande kwa tuhuma za ugaidi. Kila Rais aliweka ndani watz kwa tuhuma za ugaidi. So hakuna jipya kwa SamiaNdio shida ya nchi kuongozwa na kilazaa, hata taasisi zingine zoote zina chukua mkondo huo wa akili ndogo...nakumbuka tone ya ugaidi hapa nchini aliset samuya mwenyew siku ilee kule zanzibar akiwaita wanaharakati kuwa ni magaidi!.
Kwa hivyo jeshi la polisi, magereza, nk nk nao wameunga bodi kumuiga boss wao pasipo kutafakari madhara ya ujinga huo!!.
Ila mnaposema goli la mama sio siasaMpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Viongozi zero brain, acha wajikaange kwa mafuta yao wenyewe.Hii ndo ile unampiga mtu ngumi ya jicho, anakupiga ya sikio. 😊
kwani wao hawaoni au hawajui mpaka ajipendekeze kuwaandikia barua? Tukisema haitakii mema nchi yake tutakuwa tunakosea? Pambaneni ndani kwa ndani kwani mbona wananchi wameelimika na wanajua kinachoendelea.Ugaidi ni mambo ya kitoto.
Uchizi kivipi wakati magaidi wanashikwa kila siku au wewe hauoni?Huu sasa ni uchizi
Utoto kivipi inamaana wewe unabishana na vyombo vya ulinzi na usalama?HECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.
24 July 2026CHADEMA Vice Chairman, John W. Heche has stated that CHADEMA plans to write letters to world sports institutions such as FIFA and CAF, as well as other international organizations, to inform them about the government's statements on current security concerns.
Fuatilia CHADEMA walipinga sana huo uongo wa kudai kuwa wale mashekh ni magaidi na Lema personal aliongelea sana hiyo issue japo hawakufikia kuandika barua huko nje lakini walitahadharisha kuwa inaharibu taswira ya nchi.Hata mashekh wa Uamsho walishikiliwa miaka nane kwa ugaidi, mbona hamkuomba USA waje?