Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Hakuna anaeombea ila vyombo vya ulinzi na usalama hauoni vimemshika muhadhiri wa udom na mwingine yupo huko kaskazini kwa makosa ya ugaidi sasa unadhani wapo hao tu? Bila shaka magaidi wapo wengi mno hauoni hata serikali wamezuia mikutano ya vyama vya siasa kwasababu Kuna matishio hayo?Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea