hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😄😄😄😄Hakika mikusanyiko ya watu kama hiyo ya AFCON haifai kuwepo kutokana na tishio la ugaidi kama ambavyo imeelezwa na serikali. Pia tumesikia kule UDOM kuna lecturer gaidi. Hii ni mbaya sana maana hata mkuu wa muhimili mzizi anaweza kuwa gaidi, AFCON waishie Kirithi na Kirinyaga kwenye amani na usalama wa uhakika.