Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?

Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Jipige kifua sema nilikula ada
 
Hapo ndipo wapinzani wa Tanzania mnafeli hivi kweli unaweza kuleta mapinduzi ya kisiasa kwa kitegemea fifa?

Shame on you!!
 
Yes tuwepe pembeni siasa. Alichokisema Heche sisi tunakichukulia kama tahadhari ktk uwekezaji wetu Arusha. Mana kwa mitaji hii mara Heche kafanikiwa kuzuia AFCON tutawalipa nini vibarua wetu na tuliowapa tenda ya kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa ajili ya AFCON?
Uhuru wa wananchi haupatikani kwa kumlinda mtu mmoja mmoja, lazima kujitoa mhanga.
 
Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?

Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Unataka "athibitishe" nini wakati serikali yenye dhamana ya kujuwa hali ya usalama wa nchi ndiyo inaitangazia dunia kuwa kuna magaidi Tanzania.
Wewe akili yako imekaaje humo fuvuni mwako hata usielewe kinachozungumziwa?

Sasa unatisha watu na huko "kuonja shida ya machafuko", kuna kuonja zaidi ya watu kuuliwa kinyama ili mradi tu Samia abaki madarakani? Wewe unataka shida ya namna gani?
 
Aibu sana
Mnajichanganya wenyewe kwa kitojitambua kwani mnajitekenya wenyewe tangu lini maskini akajikomboa si ataendelea kuwa mtumwa tu huku analalamika kwa asiyoweza kufanya.

Kwa tonetone msitegemee mabadiliko jikomboeni kiuchumi kwanza ndiyo mtaweza kujikomboa kisiasa,viongozi wenu hawana uwezo nyie hamna uwezo 90% hamna kipato cha uhakika matajiri woooote wako ccm mtaboa kweli?
 
Back
Top Bottom